Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Naunga mkono hoja....[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]Linaitwaje hilo??Ni lile ulilomuhonga Mwajuma nchokonoe wa goms
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja....[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]Linaitwaje hilo??Ni lile ulilomuhonga Mwajuma nchokonoe wa goms
Hapana mkuu, hii ni Ushirombo moja.....[emoji592] [emoji592] [emoji592]Itakuwa Uturuki au nchi za Western Europe hapo
Kabisa mkuu yani gari kwetu ni anasa, ila bora yetu Ethiopia kodi ya gari ni balaa passo haikawii kugonga 15 mls za ktzUnafahamu kwamba kununua gari ni unanunua pamoja na barabara utakayotumia, umeme wa taa za barabarani, traffic police atakaekuongoza nk.?
Naona Ushirombo kuzuri itakuwa ni Gamboshi Ushirombo hakuwezi kuwa kuzuri hivyoHapana mkuu, hii ni Ushirombo moja.....[emoji592] [emoji592] [emoji592]
Huku kwetu mambo ni[emoji91] [emoji91]Naona Ushirombo kuzuri itakuwa ni Gamboshi Ushirombo hakuwezi kuwa kuzuri hivyo
Halafu mnaomiliki Mercedes-Benz, Audi, Volkswagen na BMW mjini. 80% mnamtumia magari ya kutengenezwa China au Japan yakiwa under licence ya Mjarumani... Kumiliki gari ya mjerumani kabisa si mchezo, mjini yamejaa magari ya Japan na China.Yaani bila aibu unakuja kusifia toyota brevis? Uwe serious.unaona ni heshima kuwa na toyota brevis? Sasa na wenye magari nao waje waseme nini? Muwe serious...siyo mkinunua tu gari mnakuja kutupamba humu.na wenye magari wamenyamaza.
Unasifia toyota brevis na wamiliki wa BMW wamo, na wamiliki wa BENZ wamo humu, na wamiliki wa Range, Audi, Bentley, Escarade wamo wamenyamaza.
Mkuu hiyo ni kwa ajili ya Autobhn, barabara nzuri.Aud A4 ina 260km bos check hiyo itakufaa kwa speed na bei si kubwa
Ni uoga tu, yaani ununue Gari 10M+ yakushinde mafuta, hizi ni roho za kimaskini, niko na gari CC 2000, nawazia chuma yenye cc 3500 ili nipate motive ya kutafuta pesa vzr, vijana tuache uoga wa maisha. Gari inakupersonalize wewe sasa ununue Gari ya house girl alaf uje ukutane na wanaume wenzio bila aibu.Kumbe kumiliki brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta,halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana,wanaogopa nini,je kwanini wenye brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper,mnatuumiza wenye babe walkers in town
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitu gani kitanitenganisha nawe, kama ni speed ni 220km/hr turbo, utafia barabaran ukiwa unaitafuta ilipopita viva vwView attachment 952738
Jeep wrangler kipindi flani nililia,bei chee balaa wese.Umenichekesha mkuu wenye magari yana cc5000 wanatazama tu
So mkuu tezza ya 6 cylinder aili mafuta sana km ya 4 cylinder?Hapana hata siyo sababu inakuwa 6 cylinder cc ni zile zile na upana wa cylinder za 6 ni ndogo sana compared na za 4
Renault kipumbu[emoji1787][emoji1787]Naomba kuwasilisha....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 952713
Halafu mnaomiliki Mercedes-Benz, Audi, Volkswagen na BMW mjini. 80% mnamtumia magari ya kutengenezwa China au Japan yakiwa under licence ya Mjarumani... Kumiliki gari ya mjerumani kabisa si mchezo, mjini yamejaa magari ya Japan na China.
Mercedes-Benz zinatoka China ndiyo wanauziwa watu huku, kuna kiwanda kule mjerumani anamiliki hisa 47% kama sikosei.
BMW, Volkswagen na Audi zote zinatengenezwa Japan ndiyo zimejaa huku mijini. Watu wanajisifu kumiliki gari za mjerumani original, kumbe zimeundiwa Japan na China.
Hamuwezi wakashifu wanaotumia Toyota ya aina yeyote
Hayo mengine sawa kujisifu, ila ukitaja kampuni za kijerumani tambua watu wananunua magari ya China au Japan. Ndiyo waliyojaa mashauzi mjini.