Toyota Brevis na heshima zake

Nafikiri hujamuelewa ni uwepesi gani anamaanisha, kuna gari km vx ukikanyaga mafuta unaiskia kabisa ni nyepesi, lkn nyingine ni ndogo kiumbo lakin unaskia kabisa ni nzito,
Mbona gx100 natembelea speed 180 na haipeperushwi?

Hata tecno ipo ya laki 6 na iphone ya laki 6 but huwez zifananisha ndg tafadhali sana tuheshim wa bmw
 
Wamesha juwa kwamba mimi ndie member pekee wa humu nisie miliki degree, gari na kingereza sijui...[emoji19] [emoji19]
Kwa hiyo wanatoka nduki sio?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nawapa pole yao laiti wangejua!
 
Kwa hiyo wanatoka nduki sio?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nawapa pole yao laiti wangejua!
Yaani hata pm huwa hawajibu kabisaaaaa......
Kuna mmoja aliwahi kuniambia eti nimkome hadi siku nitakapo badikisha avatar....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ahaaaahaaaa....sasa mbona hujabadilisha?[emoji23] [emoji23]
 
Noma sana,v8 ni mnyama
 
Unamaanisha kama simu za iphone na sumsung za kichina na nyinginezo? Hahaaa
 
Halafu walio wengi hao wanayasema hayo ma BMW,Benz kwa kuyaona barabaran tu usikute hata toyo hana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…