Toyota Brevis na heshima zake

Toyota Brevis na heshima zake

Nafikiri hujamuelewa ni uwepesi gani anamaanisha, kuna gari km vx ukikanyaga mafuta unaiskia kabisa ni nyepesi, lkn nyingine ni ndogo kiumbo lakin unaskia kabisa ni nzito,
Mbona gx100 natembelea speed 180 na haipeperushwi?

Hata tecno ipo ya laki 6 na iphone ya laki 6 but huwez zifananisha ndg tafadhali sana tuheshim wa bmw
 
Wamesha juwa kwamba mimi ndie member pekee wa humu nisie miliki degree, gari na kingereza sijui...[emoji19] [emoji19]
Kwa hiyo wanatoka nduki sio?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nawapa pole yao laiti wangejua!
 
Kwa hiyo wanatoka nduki sio?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nawapa pole yao laiti wangejua!
Yaani hata pm huwa hawajibu kabisaaaaa......
Kuna mmoja aliwahi kuniambia eti nimkome hadi siku nitakapo badikisha avatar....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Yaani hata pm huwa hawajibu kabisaaaaa......
Kuna mmoja aliwahi kuniambia eti nimkome hadi siku nitakapo badikisha avatar....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ahaaaahaaaa....sasa mbona hujabadilisha?[emoji23] [emoji23]
 
Mkuu sina hicho kitu ila nilikipata mahsli ili niende nacho mkoani.
Ni balaa!
Jamaa hapa wanaihusudu Brevis, lakini hiyo ni no contest mbele ya hii mi V8.

Kwa mchezo tu, mbele yangu niliona Brevis, at 140 ~150km/hr.
Akiona nakuja Brevis akaongeza mwendo hadi 160kmhr.
Nikampa 180km/hr naye akaongeza tukawa sambamba.
Hizo ni spidi kali, lakini mbuga inaruhusu.
Unaona mbelebhadi kilometa mbili, hakuna gari mbele.

Hapo ikabidi nionyeshe heshima ya ya V8.
Acceleration hadi 200~210km/hr ikatosha kumuacha Brevis.
TAHADHARI: huu mchezo ni hatari sana
Noma sana,v8 ni mnyama
 
Halafu mnaomiliki Mercedes-Benz, Audi, Volkswagen na BMW mjini. 80% mnamtumia magari ya kutengenezwa China au Japan yakiwa under licence ya Mjarumani... Kumiliki gari ya mjerumani kabisa si mchezo, mjini yamejaa magari ya Japan na China.

Mercedes-Benz zinatoka China ndiyo wanauziwa watu huku, kuna kiwanda kule mjerumani anamiliki hisa 47% kama sikosei.

BMW, Volkswagen na Audi zote zinatengenezwa Japan ndiyo zimejaa huku mijini. Watu wanajisifu kumiliki gari za mjerumani original, kumbe zimeundiwa Japan na China.

Hamuwezi wakashifu wanaotumia Toyota ya aina yeyote


Hayo mengine sawa kujisifu, ila ukitaja kampuni za kijerumani tambua watu wananunua magari ya China au Japan. Ndiyo waliyojaa mashauzi mjini.
Unamaanisha kama simu za iphone na sumsung za kichina na nyinginezo? Hahaaa
 
Unajua kuna kitu wewe huelewi, kuna magari yana mshawasha wa aina yake. Labda nikupe mfano; Justin bieber ni msanii mkubwa sana zaidi ya Diamond platnumz, lakini kwa hapa bongo mtaje Justim halafu mtaje Dai, mshtuko utakuwa mkubwa kwa Dai, ila justin kwa huko kimataifa ndio atatamba sio hapa, sasa hayo ma BMW na Benz ni huko, hapa hazina mashiko.., tumeelewana wa mzee?
Halafu walio wengi hao wanayasema hayo ma BMW,Benz kwa kuyaona barabaran tu usikute hata toyo hana...
 
Back
Top Bottom