Toyota Brevis na heshima zake

Ila mkuu kuna magari ya mgermany yana engine kubwa lakini ulaji wake wa mafuta mdogo compared na magari haya ya brevis kutokana na uhybrid wake
Nakubaliana na wewe asilimia 1oo.
Hapa ni sawa na tecno aka Toyota na german cars aka iphone or sunsung
 
Jf ina vihoja vyake mkuu kwahyo wengne ni kuwasoma na kupita... Humu ndani wote wanamiliki magari ya bei Kali mpaka unaweza kujiuliza hawa walioko jf wanaishi nchi gani?
Huwezi amini ni hao unaopishana nao mitaani ambao wana vitz ist Raum, ipsum Bodaboda bajaji mpaka wasaga miguu, lakn wakiwa humu wote matajiri
 
Inanikamua balaa[emoji23][emoji23][emoji23] ila nikiweka fulltank angalau nakuwa natupia 30 au 40 kwa siku but isipokuwa nakitu inakula mpk 60 ni jini[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnamagari mazuri hamyaendeshi kwa furaha, bora niendelee na ka wish changu no stress.
 
Wewe nawe limbukeni
 
Avtoros Shaman 8x8 All-Terrain Vehicle

 

Attachments

  • 1543748049261.png
    700.5 KB · Views: 36
Wabongo bana,eti Brevis nayo nigari yakuogopa kwa consumption ya fuel na spears. Brevis nigari ya kumpa mtoto wako wa Advance kwendea shule.
 
Mkuu kuna gari sio ya kutisha sana ila kiuhalisi performance yake ni kali sana .Gari yenyewe ni Nissan Pathfinfer ,cc 2500,turbo ,hadi speed 180 na bado gari unahisi kama ipo speed 80.
 
Kuna mwenzako alitaka kufa kwa ligi kama hizo. Aliyaovertake magari yote,mbele yake kulikua na gari ndogo ambayo kwa mealezo yake ilikua ni kama gari za toyota. Sasa wakati anajaribu kulipita,jamaa anaongeza kidogo sana. V8 akikanyaga hadi 230kph,jamaa anaibia kidogo kwa ujanja. V8 ilitoa harufu ya kwenye clutch kuelemewa.
Jamaa akamuonyesha kuwa wewe V8 LandCruiser si lolote,akachochea na kumuacha kama amesimama. Kumbuka hiyo ilikua ni saloon Car,hopefully AUDI,anakadiria ni zile zenye speed 260kph hadi 300kph,usicheze na hizo mashine,hakuna cha V8 wala nini.
 
We mwongo
 
Mkuu ndio maana nilitoa tahadhari, huo ni ufisadi wa barabarani.
Lakini mashine niliyokuwa nayo ni mpaka 260km/hr.
V8 itoe harufu at 230km/hr, labda ilikuwa mbovu!

Hata hivyo kufikia spidi hizo sijawahi maana barabara zetu sioni sehemu za kwenda 260~300km/hr.
Halafu akikatisha mbwa tu kama huja roll unapata damage kubwa tu.
 
Mkuu kuota ni muhimu.
One day yes!
 
Hakuna mjerumani anae compromise quality.

BMW anayoendesha Mchina ni sawa na ya South Africa au Brazil.

Huo ujinga anaoujaza Mchina haupo Germany.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…