kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Na wenye Carina Ti waseme nini? ha. Gari ni Carina Ti buanaYaani bila aibu unakuja kusifia toyota brevis? Uwe serious.unaona ni heshima kuwa na toyota brevis? Sasa na wenye magari nao waje waseme nini? Muwe serious...siyo mkinunua tu gari mnakuja kutupamba humu.na wenye magari wamenyamaza.
Unasifia toyota brevis na wamiliki wa BMW wamo, na wamiliki wa BENZ wamo humu, na wamiliki wa Range, Audi, Bentley, Escarade wamo wamenyamaza.