Toyota Brevis na heshima zake

Toyota Brevis na heshima zake

Unachosema ni sawa kabisa, Toyota inayouzwa Ulaya ni tofauti kabisa na Toyota inayouzwa Afrika.Ulaya hakuna Toyota Brevis, IST, , wala Noah
Tofauti ni kwamba Toyota gari lile lile moja linakuwa na majina zaidi ya matatu kutokana limelengwa kuuzwa soko gani, na magari mengi ya ulaya yanakuwa na cc kubwa zaidi. Sisi magari tunayonunua yanakuwa yamelengwa kwenye soko la ndani la Japan hata hiyo Brevis ililenga kuuzwa soko la ndani ya Japan tu haikuuzwa ulaya.
Noah ililenga kwa ajili ya soko la Asia na Africa.
Magari ya Toyota yenye code name ya IS na LS uwa yamelenga soko la Ulaya na Marekan mfano altezza IS 200 ile gari ilikuwa kwa ajili ya soko la Ulaya.
Nimetazama movie kibao nimeona Harrier 2nd generation kwenye hizo movie zikipita pita tu barabarani.
 
Nenda kai-tune boss,though utafuta kisahani na itasoma speed 180 lkn ikipigwa speed gun utashangaa inasoma hata zaidi ya 240 ikiwa-tuned properly lkn.
Tafuta zinazolenga soko la Ulaya hizi za kwetu zinakuwa zimetengenezwa kwa soko la Japan au Asia zile zenye code za IS au LS mfano Altezza IS250-300
speed.jpg
 
Binafsi huwa sipendi kuishi kwa kutafuta sifa, siwezinunua gari la speed 240 wakati speed limit za tanzania ni 80, huo ni ulimbukeni wakuu, maisha ya mtanzania wa kawaida hapa kuweka mafuta ya elf hamsini kila siku ni pasua kichwa unakuta anaumia ila hana jinsi, mda flani inabidi uzime gari kwenye jam, why usinunue gari ya 1500 or 1800 cc tu ili uwe salama
 
Tafuta zinazolenga soko la Ulaya hizi za kwetu zinakuwa zimetengenezwa kwa soko la Japan au Asia zile zenye code za IS au LS mfano Altezza IS250-300
View attachment 962354

Sasa hapa unaongelea gari nyingine tofauti ambazo sio brevis mkuu.

IS 250/300 hio ni altezza kibongo bongo.

LS hizo ndio Toyota Celsior na hapo zote LS ni ma-V8 yenye cc zaidi ya 4000 hizo.

Mimi naongelea mtu ambae anaipenda brevis/ameshainunua kama anataka mambio zaidi ni mwendo wa kui-tune coz zinatumia 1JZ/2JZ na mbio zake zikawa ni mpk 240km/h and above.
 
Brevis ingine ya AG haifai utafilisika mke wa tatu kabisa huyo,maana ni exacutive car kimuonekano ila jini hilo utatoka damu kama hali yako si hali
 
Na wenye discover wasemeje ivyo vigar vyenu vinalingana bei na simu za mkonin!!!kelele kibao
 
Kuna mdada kaingia kwenye harrier anataka kunisusia brevis yake namba d.. kwa m 5,yan najifikiria hatari
 
Yaani brevis unasema zinakutumia mafuta sana?😳😳😳 Gari economy kabisa.cc 3000 six cylinder? Nyie mtumie baiskel tu. Hamna namna. Hii crown yangu 4700 CC ungesemaje? acheni kudeka nyie. Kama hamna pesa tumie baiskeli zinatumia damu.



hahahhaaaaaaaa......

hv brevis ulaji wake wa mafuta sawa na jini alteza!!!!
 
Brevis unaiandikia uzi. Je Range Rover si ungetaka ianzishiwe Jukwaa Kabisa?

Kumbe kumiliki brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta,halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana,wanaogopa nini,je kwanini wenye brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper,mnatuumiza wenye babe walkers in town
 
Back
Top Bottom