TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,298
Brevis ni gari iliyotulia sana kwani muda wote inatumia TRC compared to baby walker ambazo ziko restless njiani
TRC inamaanisha nini mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brevis ni gari iliyotulia sana kwani muda wote inatumia TRC compared to baby walker ambazo ziko restless njiani
Tofauti ni kwamba Toyota gari lile lile moja linakuwa na majina zaidi ya matatu kutokana limelengwa kuuzwa soko gani, na magari mengi ya ulaya yanakuwa na cc kubwa zaidi. Sisi magari tunayonunua yanakuwa yamelengwa kwenye soko la ndani la Japan hata hiyo Brevis ililenga kuuzwa soko la ndani ya Japan tu haikuuzwa ulaya.Unachosema ni sawa kabisa, Toyota inayouzwa Ulaya ni tofauti kabisa na Toyota inayouzwa Afrika.Ulaya hakuna Toyota Brevis, IST, , wala Noah
Tafuta zinazolenga soko la Ulaya hizi za kwetu zinakuwa zimetengenezwa kwa soko la Japan au Asia zile zenye code za IS au LS mfano Altezza IS250-300Nenda kai-tune boss,though utafuta kisahani na itasoma speed 180 lkn ikipigwa speed gun utashangaa inasoma hata zaidi ya 240 ikiwa-tuned properly lkn.
TRaction ControlTRC inamaanisha nini mkuu
TRaction Control
Tafuta zinazolenga soko la Ulaya hizi za kwetu zinakuwa zimetengenezwa kwa soko la Japan au Asia zile zenye code za IS au LS mfano Altezza IS250-300
View attachment 962354
Mkuu SBT nao si ni wazuri kuliko AUTOREC?Nasikia ukinunua kwa jamaa wa AUTOREC wanazi recondition kabla ya kuzileta Bongo ndio maana gari zao ni expensive mkuu.
Hapo sina uhakika mkuu,mimi ni mzee wa beforward(gari za ni cheap) na sijawahi kupata nao tatizo mkuu.Mkuu SBT nao si ni wazuri kuliko AUTOREC?
Wallah nimecheka jitajidi na wewe walau uje ujibizanenimeshika tama naangalia majibizano yenu"naumia sana hamjui tu"
Wengi uwa wanauvagaa kwenye altezza wakidhani 6 cylinder ndio inanyonya kumbe 4 ndio inanyonya zaidiHapana hata siyo sababu inakuwa 6 cylinder cc ni zile zile na upana wa cylinder za 6 ni ndogo sana compared na za 4
Science ya wapi hii?Wengi uwa wanauvagaa kwenye altezza wakidhani 6 cylinder ndio inanyonya kumbe 4 ndio inanyonya zaidi
hahahhaaaaaaaa......
hv brevis ulaji wake wa mafuta sawa na jini alteza!!!!
Kumbe kumiliki brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta,halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana,wanaogopa nini,je kwanini wenye brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper,mnatuumiza wenye babe walkers in town