BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
Naam! Hakika sio Kitu tu, ni Dude...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam! Hakika sio Kitu tu, ni Dude...!
Kama zina specifications sawa kuna tatizo? Au nawe huwa unanunua brand name? Huu mfano uliotoa ni batli kuna simu kali mfano Oppo ila huku shithole country hazijulikaniHata tecno ipo ya laki 6 na iphone ya laki 6 but huwez zifananisha ndg tafadhali sana tuheshim wa bmw
I4n na Samsung hz hz tunazochaji mara tatu kwa siku?Nakubaliana na wewe asilimia 1oo.
Hapa ni sawa na tecno aka Toyota na german cars aka iphone or sunsung
Aiseee...[emoji848][emoji848]Brevis bado ni baby walker kubwa.
'Spear party'? Hiyo 'Sherehe ya mikuki' huwa inafanyikaga wapi?Mi nadhani mtazamo wng ugumu wa gari kweny spear party tu kama zinapatikana kwa bei nafuu na kwa urahisi basi easy kumiliki ila nashangaa mtu anaogopa gari kula mafuta sasa cjui anataka ile nn basi nunua tesla model 3 ile umeme tu uachane na mafuta kwanza kwa mwenyekujua gari ulaya pia unachangia matumiz yako unavyotaka itende magari ya auto ukikanyaga mafuta linameza kwel nimeona wengi gx 100 wengi waliziponda zinameza mafuta kumbe wenyewe wanapenda wakikanyaga linavyolia kumbe ndo linachoma mafuta wakat ukiitumia kistaarabu mafuta ya 10000 unatembea mjini vizur tu
'Spear party'? Hiyo 'Sherehe ya mikuki' huwa inafanyikaga wapi?
Lita 60 kwa gari yangu hua naenda dar hadi mwanza why nijisumbue na magari ya stressInanikamua balaa[emoji23][emoji23][emoji23] ila nikiweka fulltank angalau nakuwa natupia 30 au 40 kwa siku but isipokuwa nakitu inakula mpk 60 ni jini[emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleeni kuziita baby walkerInanikamua balaa[emoji23][emoji23][emoji23] ila nikiweka fulltank angalau nakuwa natupia 30 au 40 kwa siku but isipokuwa nakitu inakula mpk 60 ni jini[emoji23][emoji23][emoji23]
Altezza ya four cylinder ina code ya SXE10 engine ya Yamaha ina horse power 207Sasa kama zinakula sawa y ununue ya 4 cylinder?
Umeongea vizuri sana...nionheze kidogo...number of cylinders has nothing to do with fuel consumption..... cubic centimeters per cylinder does...Altezza ya four cylinder ina code ya SXE10 engine ya Yamaha ina horse power 207
Wakati altezza ya six cylinder BEAMS 2000 code GXE 10 ina horse power 158..
More power more fuel consumption so altezza ya four cylinder inakula wese kuliko ya six cylinder mzee watu wanaingiaga chaka..
Nb zote zina Cc 2000..
[emoji23][emoji23]'Spear party'? Hiyo 'Sherehe ya mikuki' huwa inafanyikaga wapi?
Asante kwa elimu hii . Huku vijiweni watu wanadanganyana sana. Utasikia Six hiyo .....mafuta ni balaa!!!!!Umeongea vizuri sana...nionheze kidogo...number of cylinders has nothing to do with fuel consumption..... cubic centimeters per cylinder does...
Kuna watu wanaogopa gari la six cylinders wakijidanganya linakunywa mafuta mengi kuliko lenye four cylinders...
Kumbe suala la unywaji wa mafuta linategemea injini jna cc ngapi na inazalisha nguvu kiasi gani...
Hapa kuna mtu atakuambia GX 100 lenye six cylinders linakunywa mafuta luliko Mitsubish canter lenye 4 cylinders..[emoji23][emoji23]
Anyway ndiyo maisha...mtu kasikiliza story za vijiweni, anaziweka kichwani[emoji23][emoji23]
Mkuu zipo, hadi 260km/hrIssue is, sijawahi ona zaidi ya 180km/hr kwenye hizi saloon za Toyota, wametubania tu