Toyota Brevis na heshima zake

Toyota Brevis na heshima zake

Hata tecno ipo ya laki 6 na iphone ya laki 6 but huwez zifananisha ndg tafadhali sana tuheshim wa bmw
Kama zina specifications sawa kuna tatizo? Au nawe huwa unanunua brand name? Huu mfano uliotoa ni batli kuna simu kali mfano Oppo ila huku shithole country hazijulikani
 
Mi nadhani mtazamo wng ugumu wa gari kweny spear party tu kama zinapatikana kwa bei nafuu na kwa urahisi basi easy kumiliki ila nashangaa mtu anaogopa gari kula mafuta sasa cjui anataka ile nn basi nunua tesla model 3 ile umeme tu uachane na mafuta kwanza kwa mwenyekujua gari ulaya pia unachangia matumiz yako unavyotaka itende magari ya auto ukikanyaga mafuta linameza kwel nimeona wengi gx 100 wengi waliziponda zinameza mafuta kumbe wenyewe wanapenda wakikanyaga linavyolia kumbe ndo linachoma mafuta wakat ukiitumia kistaarabu mafuta ya 10000 unatembea mjini vizur tu
 
'Spear party'? Hiyo 'Sherehe ya mikuki' huwa inafanyikaga wapi?
 
Inanikamua balaa[emoji23][emoji23][emoji23] ila nikiweka fulltank angalau nakuwa natupia 30 au 40 kwa siku but isipokuwa nakitu inakula mpk 60 ni jini[emoji23][emoji23][emoji23]
Lita 60 kwa gari yangu hua naenda dar hadi mwanza why nijisumbue na magari ya stress
 
Inanikamua balaa[emoji23][emoji23][emoji23] ila nikiweka fulltank angalau nakuwa natupia 30 au 40 kwa siku but isipokuwa nakitu inakula mpk 60 ni jini[emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleeni kuziita baby walker
 
Sasa kama zinakula sawa y ununue ya 4 cylinder?
Altezza ya four cylinder ina code ya SXE10 engine ya Yamaha ina horse power 207

Wakati altezza ya six cylinder BEAMS 2000 code GXE 10 ina horse power 158..

More power more fuel consumption so altezza ya four cylinder inakula wese kuliko ya six cylinder mzee watu wanaingiaga chaka..
Nb zote zina Cc 2000..
 
Umeongea vizuri sana...nionheze kidogo...number of cylinders has nothing to do with fuel consumption..... cubic centimeters per cylinder does...

Kuna watu wanaogopa gari la six cylinders wakijidanganya linakunywa mafuta mengi kuliko lenye four cylinders...

Kumbe suala la unywaji wa mafuta linategemea injini jna cc ngapi na inazalisha nguvu kiasi gani...

Hapa kuna mtu atakuambia GX 100 lenye six cylinders linakunywa mafuta luliko Mitsubish canter lenye 4 cylinders..[emoji23][emoji23]

Anyway ndiyo maisha...mtu kasikiliza story za vijiweni, anaziweka kichwani[emoji23][emoji23]
 
Asante kwa elimu hii . Huku vijiweni watu wanadanganyana sana. Utasikia Six hiyo .....mafuta ni balaa!!!!!
 
wabongo mizinguo sana, mnaikandia toyota wakati kwenye yard zenu ndio mmezipaki...kuweni wakweli tu...hizo brand nyingine mmekomaa kuzishadadia na hamna anayemiliki
 
gari isiyozidi 1.5 tonne kuwa na zaidi ya 180kph huwa hainiingii akilini (forget of its aerodynamics)
 
Back
Top Bottom