Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa.
Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji wake haupo tena na kila mtu anasema gari ni jini mara inakula mafuta mara spare zake ni ghali kila baya gari hili inapewa, ombi langu kwenu wajuvi nisaidieni mfano nikaipata nzuri kwa bei ya milioni 5m , 6m au 7m na nikaamua kutumia gharama za kuikarabati vizuri kila eneo iridi kama mpya je vitu gani vya kuzingatia kuvirepea kwenye gari hilo walau nikitumia milioni 4 kwa ajili ya spare tu.
Naombeni ushauri