Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

Hiyo mkuu ni machine, ni gari ngumu sana na ina mudu mazingira yote, cha msingi tumia vimiminika SAHIHI ambavyo ni manufacturer recommended.
Umenena vema
 
Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa.

Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji wake haupo tena na kila mtu anasema gari ni jini mara inakula mafuta mara spare zake ni ghali kila baya gari hili inapewa, ombi langu kwenu wajuvi nisaidieni mfano nikaipata nzuri kwa bei ya milioni 5m , 6m au 7m na nikaamua kutumia gharama za kuikarabati vizuri kila eneo iridi kama mpya je vitu gani vya kuzingatia kuvirepea kwenye gari hilo walau nikitumia milioni 4 kwa ajili ya spare tu.

Naombeni ushauri
hiyo milion 10 si unaipata ambayo iko almost mpya ambayo hahitaji matengenezo meng. Yani 6 + 4 = 10
 
Hivi kweli mtu upo serious unataka kununua brevis?
 
Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa.

Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji wake haupo tena na kila mtu anasema gari ni jini mara inakula mafuta mara spare zake ni ghali kila baya gari hili inapewa, ombi langu kwenu wajuvi nisaidieni mfano nikaipata nzuri kwa bei ya milioni 5m , 6m au 7m na nikaamua kutumia gharama za kuikarabati vizuri kila eneo iridi kama mpya je vitu gani vya kuzingatia kuvirepea kwenye gari hilo walau nikitumia milioni 4 kwa ajili ya spare tu.

Naombeni ushauri
Kwa Mil 7 unapata Brevis karibia na mpya. Kuna moja nimeona inauzwa Mil 2.4 number DEL
 
Japo sijasoma comment zote, nina uhakika umeshalewa kwamba Brevis siyo gari.

Mimi mwenyewe hata ukinipa la bure sichukui.

Hiyo gari ni mateso na majuto.
Mateso na majuto yake ni yapi??
 
Ongeza nawe nyama kidogo mkuu kuhusu hii gari, wanaiponda sana watu sasa tumeamua tupate madini

Fanya uinunue ili ujionee mwenyewe kama ni nzuri au laa.

Lakini hadi unakuja kuomba ushauri, bila shaka wewe mwenyewe una wasiwasi nayo tayari.
 
Kama ina ingine ya 1jz D4 ni gari nxuri mimi ninayo inakula 13.5km mjini na high 15km per liter ,ila uwe na plug originally, air filter mpya,na mafuta mazuri,pia uweke oil inayotakiwa kwa injini hiyo 10w- 30 .inakimbia vizuri pia life span ya injini ni km 500,000
Haleluyah ndio tunataka shuhuda kama hizi sasa
 
Back
Top Bottom