DONARD MUSIMU
Member
- Jul 12, 2015
- 62
- 35
Injini oil inakula Lita 6 unaona rpm inakuwa kwenye 5.pia transmission oil uweke original ji lita4 ,utapenda kuovatake kila gari piga Tanzania yote huchoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe uchawi ni kuweka vitu orginal usiibanie kabisaaa utaifurahia na sio kama tunavyoambiwa humuInjini oil inakula Lita 6 unaona rpm inakuwa kwenye 5.pia transmission oil uweke original ji lita4 ,utapenda kuovatake kila gari piga Tanzania yote huchoki
Mfano nimeipata kwa mtu kwa milioni 5 au sita nataka niteketeze milioni 5 au 4 kuirudisha uimara wake nianze na kitu gani au nizingatie kitu gani kuiboresha?Injini oil inakula Lita 6 unaona rpm inakuwa kwenye 5.pia transmission oil uweke original ji lita4 ,utapenda kuovatake kila gari piga Tanzania yote huchoki
3DMkuu kwani kwenye brevis unalenga kupata? Brevis ni nzito, technology ya zamini na more power hivyo ina high fuel consumption yaani jiandae 6km/litre on city road and 8km/litre high way.
Tafuta premio 1ZZ- FE unapata luxury, power and good fuel consumption inakupa hadi 10km/litre city road and 14km/ litre on high way.
Hii ukiwa na budget yako ya 7m +4m =11m unapata Kwa mtu chuma Kali kabisa.
Umeionea wapi boss?Kwa Mil 7 unapata Brevis karibia na mpya. Kuna moja nimeona inauzwa Mil 2.4 number DEL
Yaani uchukue kwa m5 utumie 4m kufanya marekebisho? Mkuu unamjua jini mkata kamba? Kwanza jiulize kwa nini brevis inaizwa bei rahisi sana huko mitandaoni, na kwa nini zimepotea barabarani tofauti na ilivyokuwa around 2018-19Mfano nimeipata kwa mtu kwa milioni 5 au sita nataka niteketeze milioni 5 au 4 kuirudisha uimara wake nianze na kitu gani au nizingatie kitu gani kuiboresha?
Ndio mkuuYaani uchukue kwa m5 utumie 4m kufanya marekebisho? Mkuu unamjua jini mkata kamba? Kwanza jiulize kwa nini brevis inaizwa bei rahisi sana huko mitandaoni, na kwa nini zimepotea barabarani tofauti na ilivyokuwa around 2018-19
Hapa kuna nyuzi nyingi sana zinahusu brevis. Hiyo hela ukiongeza m1 au 2 unapata gari ya maana tu mkononi mwa mtu,achana na hilo shumiletaNdio mkuu
Zimekua out off fashion tu.Niambie kwanini Gx100 na Gx110 huzioni Kama ilivyokua enzi hizo.Yaani uchukue kwa m5 utumie 4m kufanya marekebisho? Mkuu unamjua jini mkata kamba? Kwanza jiulize kwa nini brevis inaizwa bei rahisi sana huko mitandaoni, na kwa nini zimepotea barabarani tofauti na ilivyokuwa around 2018-19
Kwamba ni jini makata etHapa kuna nyuzi nyingi sana zinahusu brevis. Hiyo hela ukiongeza m1 au 2 unapata gari ya maana tu mkononi mwa mtu,achana na hilo shumileta
Umeuliza swali zuri hili mkuuZimekua out off fashion tu.Niambie kwanini Gx100 na Gx110 huzioni Kama ilivyokua enzi hizo.
Ingia kwenye page ya Instagram ya Jacktan wa Mwanza.Umeionea wapi boss?
AmeenIngia kwenye page ya Instagram ya Jacktan wa Mwanza.
Waje kutoa mwongozo
Ahsante mkuu nashukuru kwa kunitia moyo , vipi kuhusu luxury humo ndani imo au ndio nakuwa kama nimekaa kwenye banchBroo....wabongo sisi umasikini ndo shida, kila anayekuja kuipondea Brevis hana sababu zenye mashiko, kwanza 1JZ ni one of the best engines za Toyota japo za D4 zinahitaji uzipe kitu zinataka na zipo efficient sana kwenye ulaji wa mafuta,
sema tu watu washazoea kuabuse magari na pia kiu ya mafuta ya Brevis ndo inawashinda na ndo mana hii chuma wabongo wanaiongelea mbovu
Kama umeielewa na unajua utaimudu we chukua pita zako mitaa ya Bijampora na Chilla
Wakuu nimerudi hapa kutoa ushuhuda hii gari nimeinunua niliamua kuziba masikio na kuichukua namba DX ,Hii machine cha kwanza watu wengi wanaoiponda sidhani kama walishamiliki hata gari, nimetoka nayo Mwanza to Kahama mafuta ya Tsh.80,000/= nimefika nayo na taa haijawaka speed niliokuwa natembea ni 60 to 120 gari nyepesi mno ya mwaka 2006.Broo....wabongo sisi umasikini ndo shida, kila anayekuja kuipondea Brevis hana sababu zenye mashiko, kwanza 1JZ ni one of the best engines za Toyota japo za D4 zinahitaji uzipe kitu zinataka na zipo efficient sana kwenye ulaji wa mafuta,
sema tu watu washazoea kuabuse magari na pia kiu ya mafuta ya Brevis ndo inawashinda na ndo mana hii chuma wabongo wanaiongelea mbovu
Kama umeielewa na unajua utaimudu we chukua pita zako mitaa ya Bijampora na Chilla
PLUG ORGINAL ZA HII GARI SHILING NGAPI MOJAKama ina ingine ya 1jz D4 ni gari nxuri mimi ninayo inakula 13.5km mjini na high 15km per liter ,ila uwe na plug originally, air filter mpya,na mafuta mazuri,pia uweke oil inayotakiwa kwa injini hiyo 10w- 30 .inakimbia vizuri pia life span ya injini ni km 500,000