Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

Hapa kuna nyuzi nyingi sana zinahusu brevis. Hiyo hela ukiongeza m1 au 2 unapata gari ya maana tu mkononi mwa mtu,achana na hilo shumileta
Lakini hiyo gari ya maana bado sio Brevis, yeye anataka Brevis.., unajua kuna status na feeling zengine hazipatikani hata kwenye V8 😂
 
Plug orginal ni sh ngapi kiongozi
Well, mimi nimeshabadilishaga plug mara moja tu, na niliweka zile za kisindano, plug nilinunua 30k kwa moja, pisi 6 kwa 180k, sasa sijui kama ndio original hizo au la, mimi sijui.., nilifunga na chuma inakamua vizuri tu hadi leo
 
Hapo umenena kiongozi gari zipo vizuri ila watu wanaziponda kwa maneno ya kuambiwa tu
 
Yaani hawa wanatudanganya sana nimetoka nayo kahama to Singida zaidi km300 na kitu huko kwa laki moja tu na hapo sijaweka plug zingine na aircleaner
Kuna wengine story za vijiwe vya kahawa basi anabeba kichwani mwake tena kukuta hiyo hata kuipanda tu kwa kupewa hajawahi
 
Kanyaga twende piga gia kiongozi tumecheleweshwa MNO!! Ila mm bado sijanunua Brevis.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kitu oekee ambacho nqweza kumshauri mtu asichukue brevis ni kama ana safari nyingi fupi fupi za mjini na bajeti yake ya mafuta si kubwa. Otherwise ikipata service nzuri na clean fuel ni gari tamu.
Nimesikia sana watu wakisema ni mbovu, sikuona hilo kwa miaka kadhaa niliyoendesha
 
Mkuu gear box oil niweke ya aina Gani mkuu na je 85w-90w inafaa au 75w-90w?
 
Back
Top Bottom