Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Kimbia jini hilo mkuu, linanyonya damu zaidi ya Mwa J mbwa yule....☹️
Kimbia jini hilo mkuu, linanyonya damu zaidi ya Mwa J mbwa yule....☹️
Classmate ndio umekuja kunitisha au hutaki nikalipaki pale bijampola kwa juu kidogo🤣🤣🤣Kimbia jini hilo mkuu, linanyonya damu zaidi ya Mwa J mbwa yule....☹️
Ahsante mkuu kwa ushauriMkuu Kwa gharama hizo nadhani unaweza pata gari nzuri ambayo haina majuto maana mpaka inasemwa wajuvi walisha ithathimini
Sikushauri classmate, tafuta chuma nyingine uje upaki hapa Choma Zone...😊Classmate ndio umekuja kunitisha au hutaki nikalipaki pale bijampola kwa juu kidogo🤣🤣🤣
Sawa classmate nimekuelewa mtu mzima dawa walisema wahenga wa nyuma ya BuzwagiSikushauri classmate, tafuta chuma nyingine uje upaki hapa Choma Zone...😊
Ameen nimekupata mkuu ngoja nitafute hiyo premio sasaMkuu kwani kwenye brevis unalenga kupata? Brevis ni nzito, technology ya zamini na more power hivyo ina high fuel consumption yaani jiandae 6km/litre on city road and 8km/litre high way.
Tafuta premio 1ZZ- FE unapata luxury, power and good fuel consumption inakupa hadi 10km/litre city road and 14km/ litre on high way.
Hii ukiwa na budget yako ya 7m +4m =11m unapata Kwa mtu chuma Kali kabisa.
Njoo nkuuzie premio F imenyooka sana black In colour ila utaongeza ela kidogo ule maisha mjinAmeen nimekupata mkuu ngoja nitafute hiyo premio sasa
Ameen nimekupata mkuu ngoja nitafute hiyo premio sasa
Sh ngapiNjoo nkuuzie premio F imenyooka sana black In colour ila utaongeza ela kidogo ule maisha mjin
Vipi kwa mie ninayotaka Suv, toyota kluger inafaa? uimara wagari kwa sie tunaopenda kusafiri nayo vijijiniMkuu kwani kwenye brevis unalenga kupata? Brevis ni nzito, technology ya zamini na more power hivyo ina high fuel consumption yaani jiandae 6km/litre on city road and 8km/litre high way.
Tafuta premio 1ZZ- FE unapata luxury, power and good fuel consumption inakupa hadi 10km/litre city road and 14km/ litre on high way.
Hii ukiwa na budget yako ya 7m +4m =11m unapata Kwa mtu chuma Kali kabisa.
Inakula niniMkuu njoo na iyo 7 nikupe IST Nzuri iliyosimama ambayo haili mafuta
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hiyo gari ni nzuri mkuu kama mishe zako ni vijijini au chukua RAV 4 old model au miss Tanzania pia ni nzuri kwa chaka to chakaVipi kwa nie ninayotaka Suv, toyota kluger inafaa? uimara wagari kwa sie tunaopenda kusafiri nayo vijijini