Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

Hiyo mkuu ni machine, ni gari ngumu sana na ina mudu mazingira yote, cha msingi tumia vimiminika SAHIHI ambavyo ni manufacturer recommended.
Umenena vema
 
hiyo milion 10 si unaipata ambayo iko almost mpya ambayo hahitaji matengenezo meng. Yani 6 + 4 = 10
 
Hivi kweli mtu upo serious unataka kununua brevis?
 
Kwa Mil 7 unapata Brevis karibia na mpya. Kuna moja nimeona inauzwa Mil 2.4 number DEL
 
Japo sijasoma comment zote, nina uhakika umeshalewa kwamba Brevis siyo gari.

Mimi mwenyewe hata ukinipa la bure sichukui.

Hiyo gari ni mateso na majuto.
Mateso na majuto yake ni yapi??
 
Ongeza nawe nyama kidogo mkuu kuhusu hii gari, wanaiponda sana watu sasa tumeamua tupate madini

Fanya uinunue ili ujionee mwenyewe kama ni nzuri au laa.

Lakini hadi unakuja kuomba ushauri, bila shaka wewe mwenyewe una wasiwasi nayo tayari.
 
Haleluyah ndio tunataka shuhuda kama hizi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…