Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

Injini oil inakula Lita 6 unaona rpm inakuwa kwenye 5.pia transmission oil uweke original ji lita4 ,utapenda kuovatake kila gari piga Tanzania yote huchoki
 
Injini oil inakula Lita 6 unaona rpm inakuwa kwenye 5.pia transmission oil uweke original ji lita4 ,utapenda kuovatake kila gari piga Tanzania yote huchoki
Kumbe uchawi ni kuweka vitu orginal usiibanie kabisaaa utaifurahia na sio kama tunavyoambiwa humu
 
Injini oil inakula Lita 6 unaona rpm inakuwa kwenye 5.pia transmission oil uweke original ji lita4 ,utapenda kuovatake kila gari piga Tanzania yote huchoki
Mfano nimeipata kwa mtu kwa milioni 5 au sita nataka niteketeze milioni 5 au 4 kuirudisha uimara wake nianze na kitu gani au nizingatie kitu gani kuiboresha?
 
3D
 
Mfano nimeipata kwa mtu kwa milioni 5 au sita nataka niteketeze milioni 5 au 4 kuirudisha uimara wake nianze na kitu gani au nizingatie kitu gani kuiboresha?
Yaani uchukue kwa m5 utumie 4m kufanya marekebisho? Mkuu unamjua jini mkata kamba? Kwanza jiulize kwa nini brevis inaizwa bei rahisi sana huko mitandaoni, na kwa nini zimepotea barabarani tofauti na ilivyokuwa around 2018-19
 
Ndio mkuu
 
Zimekua out off fashion tu.Niambie kwanini Gx100 na Gx110 huzioni Kama ilivyokua enzi hizo.
 
Hapa kuna nyuzi nyingi sana zinahusu brevis. Hiyo hela ukiongeza m1 au 2 unapata gari ya maana tu mkononi mwa mtu,achana na hilo shumileta
Kwamba ni jini makata et
 
Broo....wabongo sisi umasikini ndo shida, kila anayekuja kuipondea Brevis hana sababu zenye mashiko, kwanza 1JZ ni one of the best engines za Toyota japo za D4 zinahitaji uzipe kitu zinataka na zipo efficient sana kwenye ulaji wa mafuta,

sema tu watu washazoea kuabuse magari na pia kiu ya mafuta ya Brevis ndo inawashinda na ndo mana hii chuma wabongo wanaiongelea mbovu

Kama umeielewa na unajua utaimudu we chukua pita zako mitaa ya Bijampora na Chilla
 
Ahsante mkuu nashukuru kwa kunitia moyo , vipi kuhusu luxury humo ndani imo au ndio nakuwa kama nimekaa kwenye banch
 
Wakuu nimerudi hapa kutoa ushuhuda hii gari nimeinunua niliamua kuziba masikio na kuichukua namba DX ,Hii machine cha kwanza watu wengi wanaoiponda sidhani kama walishamiliki hata gari, nimetoka nayo Mwanza to Kahama mafuta ya Tsh.80,000/= nimefika nayo na taa haijawaka speed niliokuwa natembea ni 60 to 120 gari nyepesi mno ya mwaka 2006.

Mafundi mje hapa mniambie engine oil niweke ipi na kampuni gani pendwa ?

GEAR BOX OIL NIWEKE IPI ?
WAPI NAPATA PLUG ORIGINAL NA AIR FILTER?
 
PLUG ORGINAL ZA HII GARI SHILING NGAPI MOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…