FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Daah, mbona mimi ninayo toka 2015 na ipo bomba tu, kwani nyie mnaongelea Brevis ipi labda?Japo sijasoma comment zote, nina uhakika umeshalewa kwamba Brevis siyo gari.
Mimi mwenyewe hata ukinipa la bure sichukui.
Hiyo gari ni mateso na majuto.
Lakini hiyo gari ya maana bado sio Brevis, yeye anataka Brevis.., unajua kuna status na feeling zengine hazipatikani hata kwenye V8 😂Hapa kuna nyuzi nyingi sana zinahusu brevis. Hiyo hela ukiongeza m1 au 2 unapata gari ya maana tu mkononi mwa mtu,achana na hilo shumileta
SawaDaah, mbona mimi ninayo toka 2015 na ipo bomba tu, kwani nyie mnaongelea Brevis ipi labda?
Yaani hawa wanatudanganya sana nimetoka nayo kahama to Singida zaidi km300 na kitu huko kwa laki moja tu na hapo sijaweka plug zingine na aircleanerDaah, mbona mimi ninayo toka 2015 na ipo bomba tu, kwani nyie mnaongelea Brevis ipi labda?
Plug orginal ni sh ngapi kiongoziLakini hiyo gari ya maana bado sio Brevis, yeye anataka Brevis.., unajua kuna status na feeling zengine hazipatikani hata kwenye V8 😂
Well, mimi nimeshabadilishaga plug mara moja tu, na niliweka zile za kisindano, plug nilinunua 30k kwa moja, pisi 6 kwa 180k, sasa sijui kama ndio original hizo au la, mimi sijui.., nilifunga na chuma inakamua vizuri tu hadi leoPlug orginal ni sh ngapi kiongozi
Hapo umenena kiongozi gari zipo vizuri ila watu wanaziponda kwa maneno ya kuambiwa tuWell, mimi nimeshabadilishaga plug mara moja tu, na niliweka zile za kisindano, plug nilinunua 30k kwa moja, pisi 6 kwa 180k, sasa sijui kama ndio original hizo au la, mimi sijui.., nilifunga na chuma inakamua vizuri tu hadi leo
Kuna wengine story za vijiwe vya kahawa basi anabeba kichwani mwake tena kukuta hiyo hata kuipanda tu kwa kupewa hajawahiYaani hawa wanatudanganya sana nimetoka nayo kahama to Singida zaidi km300 na kitu huko kwa laki moja tu na hapo sijaweka plug zingine na aircleaner
Hakika mkuuKanyaga twende piga gia kiongozi tumecheleweshwa MNO!! Ila mm bado sijanunua Brevis.
KAZI ni kipimo cha UTU
Mie mwenyewe nimepata kuijua vizuri hii gari sidanganyiki tenaKuna wengine story za vijiwe vya kahawa basi anabeba kichwani mwake tena kukuta hiyo hata kuipanda tu kwa kupewa hajawahi
Hii chuma bado unayo? Inatumia engine gani na ulaji wake wa mafuta ukoje?Mie mwenyewe nimepata kuijua vizuri hii gari sidanganyiki tena
Mkuu gear box oil niweke ya aina Gani mkuu na je 85w-90w inafaa au 75w-90w?Kitu oekee ambacho nqweza kumshauri mtu asichukue brevis ni kama ana safari nyingi fupi fupi za mjini na bajeti yake ya mafuta si kubwa. Otherwise ikipata service nzuri na clean fuel ni gari tamu.
Nimesikia sana watu wakisema ni mbovu, sikuona hilo kwa miaka kadhaa niliyoendesha
Gx100 na Gx110 ni gari zangu pendwa. Speed merchant, comfortability, reliability.Zimekua out off fashion tu.Niambie kwanini Gx100 na Gx110 huzioni Kama ilivyokua enzi hizo.