Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

mzee kuna muda amefika hadi 300km/h ila hamuoni mnyama wa 2jZ-gte alipopita, ile gtx turbo inazalisha 800HP kudadadeki 😀 😀 😀 😀 😀 hio Mark 2 inatembelea above 600HP wazee sio poa

Kwani ndege ndogo za starlink zinapaa kuanzia ground speed ngapi [emoji23]…naona iyo mark 2 inatakiwa itake off [emoji1787]
 
Dont waste your time, Crown inaweza kusumbua gari za Kijerumani zenye cc chini ya 2000 non-turbo, tena itasumbua mbio fupi, ikipatikana stretch imenyooka hata hizo za cc2000 crown inakaa. Kuna siku naenda Tanga na Crown maeneo ya Kabuku usiku kama saa tano ghafla naona kuna taa amazing za gari ndogo ziko nyuma yangu. Tangu nimetoka Dar hakuna gari ilikuwa inanisogelea au kuresist nikitaka kupita. Baada ya kuona hizo taa nikaanza kukaza, kila nikikukuruka jamaa yupo tu 160/170 jamaa yupo nikaona isiwe tabu ngoja nione gari gani, nikalegeza mguu jamaa akatanua kucheki Audi A4 2.0T nikamuacha aende.
Ha ha ha mzee ukaamua uache kushupaza shingo 🤣🤣
 
Wadau wa Toyota mnawaza gari ni mbio tuu.. Gari ni zaidi ya mbio..!
Wajerumani ndio tunawazidi hapo.. Gari inamazagazaga ya kutosha..hapa kuna heated seats..mara massage..!
Toyota hazina ladha..!
Heated seat Africa za nini, hasa Dar Es Salaam, nyie wajerumani acheni ubishoo, Sie AC tu inatosha..
 
Back
Top Bottom