Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Afu saiv naanza kuwasalimia wenye allion au premio coz used ya premio iko juu kuliko ma crown yenu crown niliwai kuendesha aina comfort zaid ya mataaaa taaa ty premio oyeeeeh
 
Ha ha ha hii ni vita ya wenyewe Kwa wenyewe...Wajapan wanachapana
Cc Extrovert
Wameshiba hao, sikio haliwezi zidi kichwa! Gari yenye horsepower 2OO+ ukailinganishe na kagari kenye less than 145HP kweli? Bei sio ishu sababu demand na supply ndio inaamua.

Wabongo wengi wanapenda gari isiokula mafuta sana na imara. Premio ni moja ya hizo gari ambayo inanunuliwa sana. Lazma bei iwe juu.
 
Wamekosa IQ ya kung'amua ulichosema kwenye Aya ya mwisho.
 
Samahani mkuu ila crown nadhani kuelekea 2023 tungeacha kuziongelea maana gari inauzwa mpaka mil6 bwana ila samahani sana kama nimekugusa gari ni gari ila tusianze kubrag kuhusu crown its not a car to brag.
Samahani sana mzee ila una poor reasoning sana, ukizungumzia crown hebu refer hili gari hapa. Acha kuongelea outdated cars za mwaka 2009 huko.
 
Kwa hiyo umekuja kututangazia kuwa umenunua crown au? Kuelekea 2023 naomba tuache kuongelea hizo gari ambazo mpaka uzipimp ndio zipendeze ni cheap sana mpaka mil6 unapata tena unaambiwa haina kipengele[emoji1787]
Kwahiyo ww unahis crown zote n toleo moja tu na zote ni mil 19 to 16???

Nakushaur ukakanyage mafuta
 
ndo maana zipo za 140kph, 160kph, 180kph, 200kph na kuendelea... unanunua Kadri ya mapenzi yako na mfuko wako mkuu...
Sijauliza ziko speed zipi na pizi wala bei , nimeuliza speed yote ile unakimbilia wapi?? Au hujui kiswahil?
 
Samahani sana mzee ila una poor reasoning sana, ukizungumzia crown hebu refer hili gari hapa. Acha kuongelea outdated cars za mwaka 2009 huko.
View attachment 2450311
Sawa mkuu lakini tunaongelea crown zinazotumiwa sana hapa bongo yaani royal na athlete hizi za kawaida hizo picha unazotuwekea mbona hatuzioni mjini, vivyo hivyo benz basi tuzungumzie vitu kama G-wagon hivi sasa, utabaki au utachimba, au hii kitu apo chini ni c-class C250 Avantegarde Auto, chuma inanusa mafuta 5l per 100 km so efficiently na spidi ni mshale.
 

Attachments

  • 2015-Mercedes-Benz-C-Class-C-250-Avantgarde-Auto.jpg
    47.3 KB · Views: 30
Sasa unaposema Athlete inauzwa million 6 hebu onesha show room au agiza kwa million 6 hio gari uitoe bandarini utembelee. Huwezi iona hio Crown ya mwaka 2022 sababu wanayomudu bei yake na kodi ni wachache sana. Wengine hawaijui kabisa
 
Very poor mind😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…