100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Unazungumzia harrier za 2008/9 vs crown za 2004.Uzi ni mzuri ila kuweka neno benz ushafeli..unafananishaje benz na crown how yaan? Ebu dadavua kidogo. Benz ni benz huwezi kufananisha na crown, crown ni cheap car saaaaana kiufupi ni ya vijana ambao bado hawana heraa. Ungesema tako la nyani angalau tungekuelewa. Ila utakua kijana wa daslaam wewe ukilala unaota crown tu #bloodbastad
crown ya 2004 ina bei juu kuliko harrier(tako la nyani)? au sijaelewa mkuu??Unazungumzia harrier za 2008/9 vs crown za 2004.
Crown bei ipo juu
tako la nyani moja unapata crown 2 za 2004crown ya 2004 ina bei juu kuliko harrier(tako la nyani)? au sijaelewa mkuu??
Same year model crown zipo juu mno, tako la nyani ni 2008/9 asilinganishe na crown za 2004crown ya 2004 ina bei juu kuliko harrier(tako la nyani)? au sijaelewa mkuu??
harrier ya 2004 na crown ya 2004 ni wazi harrier ina bei juu mkuu... same 2008 bado harrier itakuwa bei juu...A
Same year model crown zipo juu mno, tako la nyani ni 2008/9 asilinganishe na crown za 2004
Vipi harrier ya 2022 na crown ya 2022harrier ya 2004 na crown ya 2004 ni wazi harrier ina bei juu mkuu... same 2008 bado harrier itakuwa bei juu...
hizo sijui mkuu, ila kwa miaka uliyoweka hapo juu harrier imemuacha mbali sana crown kibei.Vipi harrier ya 2022 na crown ya 2022
Kama hiyo ni crown na wameifikisha hapo basi wamesha itoa kwenye hadhi yake na style yake iliyovutia weengiSamahani sana mzee ila una poor reasoning sana, ukizungumzia crown hebu refer hili gari hapa. Acha kuongelea outdated cars za mwaka 2009 huko.
View attachment 2450311
Kwani yana muda basi, akishaileta mmoja utaona zitavyokimbiliwaKama hiyo ni crown na wameifikisha hapo basi wamesha itoa kwenye hadhi yake na style yake iliyovutia weengi
Hii sio gari ya kifala hata kidogo kumbuka ni generation ileile kama cresta....hapa hata wale wajerumani huwa wanatulia na wala hawapishani Sana
Go for subby...ni nzuri kwa offroad piaYani mnaniacha dillema
Niko dillema kati ya crown ya 2009 na Subaru Forester ya 2009.
Sometimes nataka nichukue crown, sometimes subaru.
Hebu naombeni final verdict kwa hizi criteria nichukue ipi
1. reliability
2. fuel efficiency
3. heshima mtaani
4. Maintainance cost
5. comfortability
6. usalama
7. ipi nitakaa nayo miaka mingi bila major issues (nataka gari nikae nayo miaka mingi sana)
Go for subby...ni nzuri kwa offroadYani mnaniacha dillema
Niko dillema kati ya crown ya 2009 na Subaru Forester ya 2009.
Sometimes nataka nichukue crown, sometimes subaru.
Hebu naombeni final verdict kwa hizi criteria nichukue ipi
1. reliability
2. fuel efficiency
3. heshima mtaani
4. Maintainance cost
5. comfortability
6. usalama
7. ipi nitakaa nayo miaka mingi bila major issues (nataka gari nikae nayo miaka mingi sana)
Bado kuna watu wananunua ndinga kwa minajiri ya kupata wanSikuizi ukiwa na crown hata pisi utang'oa walevi tu na wadangaji. Tafuta hera ung'oe pisi zinazojielewa
Go for subby...ni nzuri kwa offroad pia
Consumption ya mafuta kidogo ipo juuAsante sana boss
Consumption ya mafuta kidogo ipo juu
Zote zikiwa mpya kabisa sio iliyotumika sana bongo..Naomba kujua tofauti ya fuel consumption kwa lita moja crown kilomita ngapi na subaru ngapi
Kama tofauti sio kubwa sana haitakua shida
Zote zikiwa mpya kabisa sio iliyotumika sana bongo..
Crown inakula vzuri zaidi ya subby
9_11 kwa town trip..highway inaenda hadi 13 kutokana na ukanyagaji wako