Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Uzi ni mzuri ila kuweka neno benz ushafeli..unafananishaje benz na crown how yaan? Ebu dadavua kidogo. Benz ni benz huwezi kufananisha na crown, crown ni cheap car saaaaana kiufupi ni ya vijana ambao bado hawana heraa. Ungesema tako la nyani angalau tungekuelewa. Ila utakua kijana wa daslaam wewe ukilala unaota crown tu #bloodbastad
Unazungumzia harrier za 2008/9 vs crown za 2004.
Crown bei ipo juu
 
Yani mnaniacha dillema

Niko dillema kati ya crown ya 2009 na Subaru Forester ya 2009.

Sometimes nataka nichukue crown, sometimes subaru.

Hebu naombeni final verdict kwa hizi criteria nichukue ipi

1. reliability
2. fuel efficiency
3. heshima mtaani
4. Maintainance cost
5. comfortability
6. usalama
7. ipi nitakaa nayo miaka mingi bila major issues (nataka gari nikae nayo miaka mingi sana)
 
Go for subby...ni nzuri kwa offroad pia
 
Yani mnaniacha dillema

Niko dillema kati ya crown ya 2009 na Subaru Forester ya 2009.

Sometimes nataka nichukue crown, sometimes subaru.

Hebu naombeni final verdict kwa hizi criteria nichukue ipi

1. reliability
2. fuel efficiency
3. heshima mtaani
4. Maintainance cost
5. comfortability
6. usalama
7. ipi nitakaa nayo miaka mingi bila major issues (nataka gari nikae nayo miaka mingi sana)
Go for subby...ni nzuri kwa offroad
Sikuizi ukiwa na crown hata pisi utang'oa walevi tu na wadangaji. Tafuta hera ung'oe pisi zinazojielewa
Bado kuna watu wananunua ndinga kwa minajiri ya kupata wan
awake kirahisi
 
Back
Top Bottom