Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

[emoji1][emoji1]
Nakumbuka waarabu huko middle east walikuwa wanaiita Benz ya kimasikini miaka ya nyuma sana
Nilipoona hiyo nikakumbuka
Kakaa waarabu wamebarikiwa utajiri ila kikwetukwetu benz ni expensive bwana shida sio kununua shida ni kuimantain, no cheap spares no cheap servis au utaipaki mazima
 

Mjapan huwa hakosei
 

Ndege ya chini
 
Dah hahahah
 
Hivi kuna Crown 4GR yenye G packages ?

Maana kuna mwamba alikuwa anataka yenye heated seat lkn tumetafuta site zote hakuna yenye 4GR


Na vipi mwenye uzoefu wa fuel consumption 3GR ukoje
Is there remarkable difference btn 4GR vs 3GR
Zipo mkuu,ninayo GRS 181,YOM 2005,4WD,heated seats zipo mbele na nyuma,sunroof,cooling box,
 
Yaaan sio poa af yanashuka thaman vibaya mno European cars ziko juu always performance yaaan kila kitu Japanese cars zinapata soko kubwa sabab wanaproductovity kubwa kulinganisha na European inatoa kitu kdg with something good
Hata km apewe top speed ya 240 bado hakai kwa European
 

Attachments

  • gumbokhalid-20220911-0001.mp4
    2.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…