Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

[emoji1][emoji1]
Nakumbuka waarabu huko middle east walikuwa wanaiita Benz ya kimasikini miaka ya nyuma sana
Nilipoona hiyo nikakumbuka
Kakaa waarabu wamebarikiwa utajiri ila kikwetukwetu benz ni expensive bwana shida sio kununua shida ni kuimantain, no cheap spares no cheap servis au utaipaki mazima
 
Hayo madude siyakubali. Sijui kwanini. Nadhani nimeathirika kisaikolojia najikuta nazichukia sana Saloon cars, hasa baada ya kukaa sana vijijini na kila mtu kuziita "Taxi".

Yani unaweza ukawa na chuma lako Mark X limesimama hatari. Ukipita nalo Mpitimbi au kule Kigonsera kila mwanakijiji anakupa jina, " Yule blaza mwenye taxi kapita sasa hivi" [emoji23][emoji23]

All in all, crown zimekuja kama upepo tu wa kisuri suri kama zilivyokujaga Verossa, Baloon na Mark X.. Fashion yake itapita na zitaanza kuonekana kama mtumba tu!

Mjapan huwa hakosei
 
Umekosea kitu kimoja tu. Hizo ulizosema zimepita ni gari moja. Yaani Mark2,Verossa then ikageuka Mark X.
Ila Crown ni Crown haitapotea kama Verossa au Mark 2. Crown itaendelea kuwepo zikija new models tu.
Kibongobongo watu wametoka grs180/182 wameingia grs200 na zitaemdelea hivyo bila kupotea Jina na nembo ya Crown. It's a flagship for Japanese sedan.

Ndege ya chini
 
Dah hahahah
 
Hivi kuna Crown 4GR yenye G packages ?

Maana kuna mwamba alikuwa anataka yenye heated seat lkn tumetafuta site zote hakuna yenye 4GR

Na vipi mwenye uzoefu wa fuel consumption 3GR ukoje
Is there remarkable difference btn 4GR vs 3GR
Zipo mkuu,ninayo GRS 181,YOM 2005,4WD,heated seats zipo mbele na nyuma,sunroof,cooling box,
 
Nimekupata ngoja takujulisha soon.
Ingia beforward chap nimeipata moja nyeusi
Screenshot_20230130-103943.jpg
Screenshot_20230130-104008.jpg
 
Hayo madude siyakubali. Sijui kwanini. Nadhani nimeathirika kisaikolojia najikuta nazichukia sana Saloon cars, hasa baada ya kukaa sana vijijini na kila mtu kuziita "Taxi".

Yani unaweza ukawa na chuma lako Mark X limesimama hatari. Ukipita nalo Mpitimbi au kule Kigonsera kila mwanakijiji anakupa jina, " Yule blaza mwenye taxi kapita sasa hivi" [emoji23][emoji23]

All in all, crown zimekuja kama upepo tu wa kisuri suri kama zilivyokujaga Verossa, Baloon na Mark X.. Fashion yake itapita na zitaanza kuonekana kama mtumba tu!
Yaaan sio poa af yanashuka thaman vibaya mno European cars ziko juu always performance yaaan kila kitu Japanese cars zinapata soko kubwa sabab wanaproductovity kubwa kulinganisha na European inatoa kitu kdg with something good
Hata km apewe top speed ya 240 bado hakai kwa European
 
Attachments

  • gumbokhalid-20220911-0001.mp4
    2.2 MB
Back
Top Bottom