Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Mkuu upo sahihi watu wengi vijijini kila saloon car wanaita tax
 
Ola wakulungwa eeeh nimechukua crown ina kama mwezi hivi ila gari inavuma sana nimekagua miguu yote ikosawa itakuwa nini wadau au hizi tairi zilizokuja na gari
Crown Ni Gari isiyoingiza kelele ndani, au kelele chache ikipita rough road Au lami Mbaya. Ushauri, badilisha tires, bush nk peleka kwa fundi waikague ingiza road
 
Ola wakulungwa eeeh nimechukua crown ina kama mwezi hivi ila gari inavuma sana nimekagua miguu yote ikosawa itakuwa nini wadau au hizi tairi zilizokuja na gari

Tairi saizi ngapi na ni aina gani

Yangu ilikuja na BridgeStone 225/45R18

Nlitoa nkaweka Triangle za mchina aseee nmetoa
Zinavuma sana ile kashata hapana

So nmerudisha zangu Bridgestone
Nmeshauriwa niweke kati ya hizi
-Dunlop
-Goodyear
-Michelin
-Continental
-Au Bridgestones yenyewe

Japo bei zimesimama tyre moja inaanzia laki3

Ila
-Joyroad na Trackmac ni laki1.70
-ceat ya india laki 3
-kapsen laki 2.25
-Hillo na Triangle ni laki 2 mpaka 2.30
 
Mkuu ni bridge stone mbele nyuma dunlop upande wa kushoto na wakulia ni continental ila zote vipara kasoro tyre moja so nikibadisha nikiweka mpya Dunlop au good year iyo kero itaisha
 
Mkuu ni bridge stone mbele nyuma dunlop upande wa kushoto na wakulia ni continental ila zote vipara kasoro tyre moja so nikibadisha nikiweka mpya Dunlop au good year iyo kero itaisha

Hapo sina jibu mkuu
Lakini ni vizuri uweke tairi za aina moja
Then fanya wheel balance and alignment

kama vipara badili kwa usalama wako
Au njoo nkupe hizi bridgestone zilizokuja na gari
Sio kipara ila ni za 2017 so nataka kuweka mpya
 
Mkuu namimi nazitaka
 
Saloon Royal ndio hii boss hebu tupe vipi gharama za spare parts zake na ikiwa na km laki na 20 kutoka japani ikifika unatakiwa utoe nini na nini ili liwe jipya tena
 
Hapa umecheza hii ina kila kitu,sunroof,heater seats nyuma na mbele,cooling box,shades,mziki mzuri ,Air purifier nyuma

Congratss bro![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Ewaaaaaa..! Ongezea memory seat
wewe unaijua vizuri G-PACKAGE [emoji28]
Huwa nakutana na watu wanashangaa hii mbona iko tofauti na zao .kitu ambocho sina hapo ni sunroof tu[emoji2365]

View attachment 2764105
Saloon Royal ndio hii boss hebu tupe vipi gharama za spare parts zake na ikiwa na km laki na 20 kutoka japani ikifika unatakiwa utoe nini na nini ili liwe jipya tena

Hapo kikubwa ni service ya engine hasa oil+oilfilter na itategemea na oil utayoweka

Mengine itategemea na gari yenyewe ikifika itakuwa ipo kene hali gani.so ni ngumu kujua exactly gari kama bado haijafika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…