Ngoja nikupe facts why crown ni better kuliko mark x
Crown ina space kubwa ndani kuliko mark x, nia pana zaidi, hata. Ukiingiia kwa hizi gari mbili utajionea
Crown ina more comfortable seats kuliko mark x, mark x ni pure sport car ina sport seats, which are comfortable ila sio kwa level za crown, bro, tena ukutane na royal saloon G package ndo kabisaaaa bala zito
Crown ina soft suspension hasa royal saloon mneso wa mule ndani sio poa kaka, mar x ni sport executive sedan inakuja na stiff suspension bro
Crown ina advanced stability control kuliko mark x bro ndo mana crown jnaweza kata kona na speed kali bila gari kuvuta upande mmoja, mark x huwa inavuta upande mmoja ukikaga kona na speed kubwa na pia mark x ni nyepesi kuliko koz ina 1500 na crown ina 1620kg crown stability sio nzuri kuliko crown
Crown ina active noise colancelation kelele za nje haziingii ndani ni presidential level kaka, ndo japanese lemuosine ha viongozi waaandamizi japan koz ni full size executive sedan
Crown ina body ngumu kuliko mark x na mfano G package inakuja mpka na 8airbags
Tukija kwa grs200 wanapenda kuziita new model ina tech ambazk huwezi zipata kwa mark x bro
Ina radar cruise control inayotumia gps data kaka sio poa, na ndio gari y kwanza kuwa na hii tech duniani mnamo miaka ya 2008
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na air bag katikati ya siti ya dereva na abiria, kwenye ajali msigongane mkaumizana
Crown Grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na collision avoidence system ukitaka kugonga kitu au gari ya mbele inapiga alarm afu inachaji brake ukikanyaga tu unapata instant brakes mzee baba
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na pedestrian detection hugongi mtu kaka inapiga alarm
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na driver monitoring system inapima kama macho ya dereva yako wazi hujasinzia na inafanya kazi hata usiku na ukimwa umevaa sunglass, ukilala tu inapiga alarm sio poa
Hizo features zote hapo hamna mark x yenye nazo
Generaly crown ni full size executive sedan yenye presidential levels inakuwa compared na benz E class, bmw 5series, aud a6, jagaur xf, nissan fuga, lexus gs,
Ila mark x ni compact executive sport haina presidetial levels of comfort inakuwa compared na bmw 3series, aud a4, nissan skyline, mazda 6, benz c class
Na hapo sijagusia toyota crown majesta level za S class hizo mzee baba starehe ya humo sio poaa
Crown ku share engine na mark x hakuifanyi hizi gari ziwe sawa,
Benz E class ina 1790cc M271 engine same ipo kwenye c class ,ila haifanyi c class iwe sawa na E class eti kisa zina share engine
Mark x ni gari nzuri kama unapenda sport looking sedan yenye comfort nzuri
Ila kama unataka maximum comfort, stability, handling, space toyota crown ni balaa zito mzee baba
Mimi mi DRMECHANICS_TZ
Utanipata instagram kwa hilo jina na tiktok pia youtube kuna review kali snaa za magari nimefanga account inaitwa ROC TV
NAWASILISHA