Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Mtu mwingine wa crown kakasirika. Mzigo umetiwa 1jz gte
Your browser is not able to display this video.
 
Kweli hapo ni personal preference. Kati ya hii na crown unachagua crown kweli, duh😊
 
Zote ni boat (gari ndefu na pana) ila mark x ina unafuu kidogo ndo maana naprefer mark x.

Kwenye comparison pia watu wengi wanalinganisha crown athlete na mark x ya kawaida ambayo ni kama royal saloon kwa crown. Ili kwenda sawa inabidi uilinganishe na mark x vertiga. Na still hata kwa hizo za zamani bado nitapenda vertiga kuliko athlete.
 

Kweli hii ulinganishe na huyu mnyama[emoji28][emoji174]
Check iyo pearl color,chrome,body kits afu ndani
unakuta leather heated&memory seats,fridge oyaaaa
Iyo A/C na comfort ukikaa sasa[emoji23](anyway..joking)
 
Kwa features za ndani crown inaipita mark x kidogo hilo siwezi kupinga. Ila kwa muonekano wa nje mi naona vertiga ni kali kuliko athlete.

Pia kwa kuendesha nilinotice crown inaizidi uzito kidogo mark x, huenda mark x ikawa inaipita crown kidogo kwenye perfomance. japokuwa sijawahi kuziona zikishindana.
 

Mark x vs crown Athlete

Personal experience
Nmekaa na mark x mwaka na nusu
Kabla ya kurudi kene IST then Crown
Japo haikuwa mpya but mark x ilinipa experience nzuri so nkifanya comparison here my take

1.mark x more sport na iko stable zaidi hasa kene kona kuliko crown nazani kwasababu ya shape yake

2.mark x 4GR inachanganya faster kuliko Crown 4GR

3.Inazidi consumption kidgo Crown same Engine

Kwa Crown
1.more comfortable,quiet and luxurious interior
2.Ina body ngumu kuliko mark x(achana na bumper )
3.Good fuel consumption compare to other V6’s
4.Ina mwonekano mzuri(looks sexy [emoji28])

Conclusion:Hizi gari zinafanana sana japo crown ina option nyingi kutegemea na mfuko wako

Hakuna major setback,muhimu chagua gari utakalopenda zote hutojutia japo Crown utafurahia zaidi(personal experience)
 
Crown ni nzuri sana ukiwa na michuzi ya kueleweka.
 
Tezza 1jz gte vs Crown 2gr fse
Your browser is not able to display this video.
 
Csj imerudi mjini ndio altezza inayoongoza kwa vurugu kwa sasa
 
Sasa hivi ni nyeusi,ila nahisi ni fujo tu kwenye engine wala akutishi ni 3sge
3s ikiwa manual huwa ina uwanda mpana sana wa kuichezea, ila kwa mwendo ni kawaida tu japokuwa crown za 4gr hazigusi ule mziki.

Juzi kati Masaki nimeona lexus is250 manual sasa ile ndo 4gr ambayo haikubali unyonge kwa 3s.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…