Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Laki tano kwa mwezi

Kama uko single unaweza pambana nayo
Lkn kama una majukumu mengi au familia ambayo nayo inategemea hiyo laki 5 brother sorry achana na hii gari

Itakuumiza sana.

Minimum badget laki3 kwa mwezi hapo huijaomba service its just routine necessary trips

Bora uanze na gari ndogo ambayo utaenjoy pia utaendelea kufanya mambo mengine.
 
Thanks bro ngoja nianze na raum
 
Mshauri gari ndogo kama zipi kwa minimum budget?
 
Mkuu si tumekubaliana apo juu tusiangalie cc [emoji23]

Mbona sielewi hapa

Crown 3GR 3000cc Vs 4GR 2500cc fuel consump [emoji618]️

Kwani hamna wenye 3GR humu????
Mkuu nikuulize swali hivi hizi crown zinaingiliana spare

Yaani mfano Model ya 2014 ikiharibika unaweza kuchukua Spare ya 2012 ukafunga?
 
Kama uko single unaweza pambana nayo
Lkn kama una majukumu mengi au familia ambayo nayo inategemea hiyo laki 5 brother sorry achana na hii gari

Itakuumiza sana.

Minimum badget laki3 kwa mwezi hapo huijaomba service its just routine necessary trips

Bora uanze na gari ndogo ambayo utaenjoy pia utaendelea kufanya mambo mengine.
Mimi nimetumia crown na sijawahi kufikisha laki tatu kwa mwezi usipende sana kitisha watu.. Ulaji wa mafuta wa crown kwanza inategemea na matumizi ya mtu , crown zinakula mafuta ila sio kama unavuozungumzia
 
Ukiwa na mizunguko mingi inafika laki 3 na hata kuvuka ...
MDau pale juu kasema kwa kipato cha kawaida kuimaintain crown itakua ni shida na ndio maana akamshauri achukue zile gari ndogo kumudu
 
Mimi nimetumia crown na sijawahi kufikisha laki tatu kwa mwezi usipende sana kitisha watu.. Ulaji wa mafuta wa crown kwanza inategemea na matumizi ya mtu , crown zinakula mafuta ila sio kama unavuozungumzia
Bro hz bajet tu ya mafuta kwa mizunguko ya kawaida budget yake ipoje!? Na service pia naomba uzoef kutoka kwako
 
Kimsingi tukiangalia tu, mimi niliendesha ist ya mtu kama mwez hv baadae nikapata uzoef inakula 10-11 km/lita kwa mjini kwahyo ukilinganisha na crown imepishana kama km 2-3. Coz crown mjin inatembea 7.5-10km/lita
 
Mimi nimetumia crown na sijawahi kufikisha laki tatu kwa mwezi usipende sana kitisha watu.. Ulaji wa mafuta wa crown kwanza inategemea na matumizi ya mtu , crown zinakula mafuta ila sio kama unavuozungumzia
Sasa si inategemea unatembea kilometers ngapi kwa siku. My fuel bill kwa mwezi ni tzs 500,000 natumia hio Crown. Kwasiku natembea at least 60km
 
Back
Top Bottom