Jemedaree
JF-Expert Member
- Nov 22, 2021
- 676
- 2,024
- Thread starter
- #481
Ingia beforward chap nimeipata moja nyeusiView attachment 2499979View attachment 2499980
Shukrani sana mkuu[emoji1417]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia beforward chap nimeipata moja nyeusiView attachment 2499979View attachment 2499980
KIpato chako kimekaaje ili tukupigie hesabu vzuri...Naombeni kujua ulaji wa mafuta kwa crown athlete na kama inafaa iwe gari ya kwanza kumiliki!?
Laki tano kwa mweziKIpato chako kimekaaje ili tukupigie hesabu vzuri...
Laki tano kwa mwezi
Thanks bro ngoja nianze na raumKama uko single unaweza pambana nayo
Lkn kama una majukumu mengi au familia ambayo nayo inategemea hiyo laki 5 brother sorry achana na hii gari
Itakuumiza sana.
Minimum badget laki3 kwa mwezi hapo huijaomba service its just routine necessary trips
Bora uanze na gari ndogo ambayo utaenjoy pia utaendelea kufanya mambo mengine.
Una masihara chiefLaki tano kwa mwezi
Mshauri gari ndogo kama zipi kwa minimum budget?Kama uko single unaweza pambana nayo
Lkn kama una majukumu mengi au familia ambayo nayo inategemea hiyo laki 5 brother sorry achana na hii gari
Itakuumiza sana.
Minimum badget laki3 kwa mwezi hapo huijaomba service its just routine necessary trips
Bora uanze na gari ndogo ambayo utaenjoy pia utaendelea kufanya mambo mengine.
Mkuu nikuulize swali hivi hizi crown zinaingiliana spareMkuu si tumekubaliana apo juu tusiangalie cc [emoji23]
Mbona sielewi hapa
Crown 3GR 3000cc Vs 4GR 2500cc fuel consump [emoji618]️
Kwani hamna wenye 3GR humu????
Mfano Generation ya kuanzia 2008 mpaka 2011 zinafanana sana, je ninaweza kununua spare ya toleo la 2008 nikaifunga kwenye ya 2011 na isiwe nashida?Zinaingiliana kama ni generation moja.chache sana zitapishana
Spare haina mwaka, kama generation moja zinaingiliana.Mfano Generation ya kuanzia 2008 mpaka 2011 zinafanana sana, je ninaweza kununua spare ya toleo la 2008 nikaifunga kwenye ya 2011 na isiwe nashida?
Mimi nimetumia crown na sijawahi kufikisha laki tatu kwa mwezi usipende sana kitisha watu.. Ulaji wa mafuta wa crown kwanza inategemea na matumizi ya mtu , crown zinakula mafuta ila sio kama unavuozungumziaKama uko single unaweza pambana nayo
Lkn kama una majukumu mengi au familia ambayo nayo inategemea hiyo laki 5 brother sorry achana na hii gari
Itakuumiza sana.
Minimum badget laki3 kwa mwezi hapo huijaomba service its just routine necessary trips
Bora uanze na gari ndogo ambayo utaenjoy pia utaendelea kufanya mambo mengine.
Ukiwa na mizunguko mingi inafika laki 3 na hata kuvuka ...Mimi nimetumia crown na sijawahi kufikisha laki tatu kwa mwezi usipende sana kitisha watu.. Ulaji wa mafuta wa crown kwanza inategemea na matumizi ya mtu , crown zinakula mafuta ila sio kama unavuozungumzia
Bro hz bajet tu ya mafuta kwa mizunguko ya kawaida budget yake ipoje!? Na service pia naomba uzoef kutoka kwakoMimi nimetumia crown na sijawahi kufikisha laki tatu kwa mwezi usipende sana kitisha watu.. Ulaji wa mafuta wa crown kwanza inategemea na matumizi ya mtu , crown zinakula mafuta ila sio kama unavuozungumzia
Uendeshaji pia una matter sanaKimsingi tukiangalia tu, mimi niliendesha ist ya mtu kama mwez hv baadae nikapata uzoef inakula 10-11 km/lita kwa mjini kwahyo ukilinganisha na crown imepishana kama km 2-3. Coz crown mjin inatembea 7.5-10km/lita
Sasa si inategemea unatembea kilometers ngapi kwa siku. My fuel bill kwa mwezi ni tzs 500,000 natumia hio Crown. Kwasiku natembea at least 60kmMimi nimetumia crown na sijawahi kufikisha laki tatu kwa mwezi usipende sana kitisha watu.. Ulaji wa mafuta wa crown kwanza inategemea na matumizi ya mtu , crown zinakula mafuta ila sio kama unavuozungumzia