Toyota Crown Majesta second generation S180

Huwe na majesta, mguu uwe mwepesi ili iweje mkuu [emoji3][emoji3].. labda kama upo posta.. ila upo kwenye njia imenyooka lazima mguu uende down.. umekuja juu kuna nyange nyange au maloli
[emoji23] kweli mguu lazima uwe mwepesi
 
1UR ndio zipo. Hii 3UR nilisoma kwenye blog moja wakadai pia ipo kwenye baadhi ya majesta.. ila sijaona majesta yenye hiyo 3UR hata niki search ya used sizoni, naishia ona 1UR na 3UZ
Kweli hata mimi hizo 3UR sijawahi kuiona kwenye majesta
 
Alafu hata Mimi nilihisi jamaa ananipanga Tu pia yeye ni Dereva Tu na sio mmiliki wa gari.
Gari hata liwe jini kiasi gani hailewezi kuwaka taa Kwa mafuta ya tsh 30000 kutoka Tabata - Kariakoo
Crown athlete kama mafuta yalikuwa empty kabisa taa inaweza kuwaka....
na mshale wa mafuta unaweza usisogee juu
 
Executive sedans kama hii Crown tank capacity yake ni lita 60 hadi lita 75. Kwa hiyo 30000/= ni zaidi kidogo ya lita 10 ambayo ni almost reserve. Kama wakati ameweka wese Tabata taa ilishawaka, basi siyo ajabu kuwa ikawaka by the time yuko Kariakoo.
Labda wanafikiri taa ikiwaka maanake mafuta yameisha.
 
Hio gari itakuwa ya safari tu, mjini siwezi tembelea!
Muachie naby atembelee.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hakuna watu wenye matumizi mabaya ya mafuta kama wanawake.. unaweza weka full tanj, jioni yanarudi nusu kikombe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…