kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kule Afrika Kusini Yanga imecheza na Kaizer Chiefs kombe la TOYOTA na kulazimika kuvaa logo ya TOYOTA kifuani mwa jezi yenye rangi nyekundu. Binafsi nilidhani Yanga inakataa logo za wadhamini zenye rangi nyekundu kwa kuhofia kupata mikosi ya kufungwa kumbe bwana hakuna kitu hicho ni hofu tu. hata kama wakivaa nembo yenye wekundu ndani yake hakuna shida kwenye matokeo, maana waliivaa na kufunga 4-0. Hata kombe la TOYOTA litakwenda kwenye makabati ya Yanga likiwa na rangi nyekundu ya TOYOTA
Je, huu ni wakati wa wadhamini wengine pia kuitaka Yanga ivae nembo yao kama ilivyo kama walivyovaa ile ya TOYOTA kama ilivyo?
View: https://www.youtube.com/watch?v=8qXqAXBxmDs
Je, huu ni wakati wa wadhamini wengine pia kuitaka Yanga ivae nembo yao kama ilivyo kama walivyovaa ile ya TOYOTA kama ilivyo?
View: https://www.youtube.com/watch?v=8qXqAXBxmDs