Toyota GT 86 Mjapan alikodi vijana wa intern kutoka Italia sijui?

Toyota GT 86 Mjapan alikodi vijana wa intern kutoka Italia sijui?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kuna sport cars Toyota wametengeneza hadi kesho wanajisifu, tukiacha Toyota Supra basi ni hii GT 86.
IMG_1999.jpeg

Hii combination ya Toyota na Subaru wakaleta hii gari, kwa bei ambayo ata huwezi kuifikiria kutokana muonekano na performance yake.
IMG_1998.jpeg

Inakuja na engine ya Subaru boxer 2.0L na 6-gears manual au auto, na unapata 200hp kwenda juu.
IMG_1992.jpeg
IMG_1991.jpeg

Uwa naifananisha kimuonekano na Ferrari 599 ambayo used hauwezi pata chini ya $100,000 pale Japan tena iyo ya 2009.
IMG_1995.jpeg
IMG_1993.jpeg

Ila hii 86 used ya 2014 first gen unapata kwa Mil 14 bila wasiwasi utabaki kusumbuana na TRA tu.
 
Kuna mwamba yupo kimara anayo hii gari... Subaru imeshiriki Kwa asilimia kubwa Sana kwenye hii gari, Toyota walikuwa wanataka hii gari itumie FWD ila Subaru wakakataa kwasababu wao wanaamini kwenye AWD na mwisho wa siku Toyota walikubali

Toyota wamechangia gear box na Subaru wamechangia engine
 
Sahihi kabisa, kuna kinu cha boxer FA20
 
Back
Top Bottom