Ndio ivo. Nimecheki TRA hawana hii modelBei ndogo changamoto TRA wao watataka milioni 14 zingine kama vile wao ndiyo wameitengeneza
Sahihi kabisa, kuna kinu cha boxer FA20Kuna mwamba yupo kimara anayo hii gari... Subaru imeshiriki Kwa asilimia kubwa Sana kwenye hii gari, Toyota walikuwa wanataka hii gari itumie FWD ila Subaru wakakataa kwasababu wao wanaamini kwenye AWD na mwisho wa siku Toyota walikubali
Toyota wamechangia gear box na Subaru wamechangia engine
Halafu ma jobless tuka nawe miguu.
Ushuru wa BRT ni Mil 24.
Ashukuriwe Mungu alie juu.