Toyota hizi...!

Toyota hizi...!

Shida ya online inachukua muda kidogo kufika na mimi kwa tabia yangu siwezi kukaa na gari mwezi imepaki roho inauma kama Nina mgonjwa vile ,halafu mashabiki nao wanakulegeza wanakwambia tulisema hii gari utaipaki tuuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna kitu umenikumbusha

Ila usiishi kwa kumtegemea binadamu
 
Attachments

  • futa kisahani.mp4
    2.9 MB
Gari za kijapan zimetengenezwa simple sana hasa hizi salon... Unakuta gari uzito wake ni tani moja tu... Na haina reinforcement za uhakika.... Mjerumani kaunda kitu cha maana hasa... Unakuta gari ndogo uzito wake tani 3 imewekewa vyuma vya maana... Niliwahi kupinduka na moja darajani hii njia ya Msata, nikatua chini darajani kichwa chini mijuu guu lakini sikutoka hata na jeraha na gari haikuumia kivile... Ingekuwa Toyota leo hii ingekuwa nakula kipupwe akhera
Mkuu tani 3 ni mbali saana kwa salon car aise. Hapo unaongelea the likes of Range Rovers. Maana S class zenyewe zikijitahidi saana ni tani 2 tu. Hata Bugatti Veyron haifiki tani 2.5.

Stability ya gari haitegemeani gari kuwa nzito. Kuna factors nyingi saana kama aerodynamics, suspension system, aina ya engine, size ya tairi, weight balance etc. Gari za Formula 1 zina uzito wa kilo zisizozidi 750, ila ziko stable balaa hata kwenye high speed. So kigezo cha uzito hapana.

Uzito mkubwa ni tatizo kwenye gari, sio advantage. Ndio maana manufacturers wanatumia carbon fibre siku hizo mpaka kwenye gari za kawaida ili kupunguza uzito.
 
Toyota crown new model body n chassis... See the in itView attachment 1106227
Gari nyingi za kiJep hazina chassis frame bali body imeungwa direct na chassis fulani very simple... Hii ukipata nayo ajali.... Ni majaliwa ya mola kutoka mzima
Mkuu, naomba kutofautiana na wewe kwenye hili. Body on frame ni technologia za kizamani saana kwenye salon cars. Siku hizi karibu manufacturers wote wa salon na crossovers wanatumia uni-body construction. Hizo body on frame zimebaki kwenye full size SUV pekee. Salon ni chache saana za namna hiyo. Jaribu kufuatilia ujue.
 
Mkuu tani 3 ni mbali saana kwa salon car aise. Hapo unaongelea the likes of Range Rovers. Maana S class zenyewe zikijitahidi saana ni tani 2 tu. Hata Bugatti Veyron haifiki tani 2.5.

Stability ya gari haitegemeani gari kuwa nzito. Kuna factors nyingi saana kama aerodynamics, suspension system, aina ya engine, size ya tairi, weight balance etc. Gari za Formula 1 zina uzito wa kilo zisizozidi 750, ila ziko stable balaa hata kwenye high speed. So kigezo cha uzito hapana.

Uzito mkubwa ni tatizo kwenye gari, sio advantage. Ndio maana manufacturers wanatumia carbon fibre siku hizo mpaka kwenye gari za kawaida ili kupunguza uzito.
Hapana hiyo gari ilikuwa na huo uzito nadhani copy ya kadi bado ipo ngoja nitacheki
 
Mkuu, naomba kutofautiana na wewe kwenye hili. Body on frame ni technologia za kizamani saana kwenye salon cars. Siku hizi karibu manufacturers wote wa salon na crossovers wanatumia uni-body contruction. Hizo body on frame zimebaki kwenye full size SUV pekee. Salon ni chache saana za namna hiyo. Jaribu kufuatilia ujue.
Sahihi kabisa lakini zile sehemu nyeti zimewekewa reinforcement za uhakika na usalama umepewa kipaumbele sana
 
1109970

cha kushangaza hizi gari za GX 100 na wenzake ni vigumu sana kuzikuta zimepiga upside DOWN, hata ikimbieje ku turn over ni vigumu km SUV huenda ni hizo suspension coil spring na torsion bar yanazuia mieleka. hawa wa spring (bar) naona ikikatika lazima ilambe mchanga
hivyo bado nakubali magari ya Ulaya ni imara kuliko ya Japan
 
View attachment 1109970

Low centre of gravity.....
 
Mkuu tani 3 ni mbali saana kwa salon car aise. Hapo unaongelea the likes of Range Rovers. Maana S class zenyewe zikijitahidi saana ni tani 2 tu. Hata Bugatti Veyron haifiki tani 2.5.

Stability ya gari haitegemeani gari kuwa nzito. Kuna factors nyingi saana kama aerodynamics, suspension system, aina ya engine, size ya tairi, weight balance etc. Gari za Formula 1 zina uzito wa kilo zisizozidi 750, ila ziko stable balaa hata kwenye high speed. So kigezo cha uzito hapana.

Uzito mkubwa ni tatizo kwenye gari, sio advantage. Ndio maana manufacturers wanatumia carbon fibre siku hizo mpaka kwenye gari za kawaida ili kupunguza uzito.
Ni muda Sana naona watu wanazungumzia uzito huwa nakaa kimya tu. Hizi gari Japanese, European hazizidiani uzito Sana,labda kg 10-50tu. Most saloon cars ni 1.5ton. Gari za Europe 'feels heavy' on the road kwa sababu ya ufundi kwenye suspension and steering parts. Muundo wa suspension and steering parts unafanya gari inakuwa stable mpaka unaona gari hii ni nzito.
Hakuna saloon ya kawaida yenye 3ton kama ulivyosema, 3 tons ni SUVs. Na kwasasa hivi SUV za Euro wanatumia aluminium body imezidi kuwa nyepesi bila kuathirika stability take.
New Range Rover is lighter than Toyota Land cruiser but feels heavy than LC and far far stable.
 
Kweli kabisa mkuu! Nakubaliana na wewe. Na kimeo kingine, karibu 80% ya salon cars za Bongo tumeziinua ili ziweze kutufikisha nyumbani kwetu (maana wengi hatuishi karibu na barabara). Ukishafanya hivyo unakuwa umeharibu saana stability ya gari kwa safari za highway.
 
Back
Top Bottom