Toyota hizi...!

Toyota hizi...!

Kila mtu ana starehe yake mkuu, fikiria kuna wanao ona kuwa na mademu ni starehe zao, kuna wanywaji wa pombe ni starehe zao....

Kwangu mim starehe yangu ni kuvunja speed meter... Kifo tumeumbiwa binadamu, gari nimeanza kuendesha nikiwa na miaka 7, na miaka 19 naendesha gari... Enjoy
duuu! mkuu. baada ya kliniki tu we ndani ya ndinga! mguu haufiki kwenye accelerator ila unakomaa!

tembea uone!
 
Kufika salama ni jambo la kumshukuru Mungu... Huu mzinga si wa kitoto... Hata ukiwa road na speed 40 atatoka kichaa huko na speed zake anakuzoa...

60353038_116866909525603_8617815659964792832_n.jpg


60344016_116866846192276_8327902146259320832_n.jpg
Ooh Lord [emoji26][emoji26][emoji26]
 
hata mnunuaji wa chuma chakavu anaikataa!

ngoja sisi wamiliki phoenix tusitie neno, hamchelewi kutubatiza tunasumbuliwa na pepo za kwanini. mmh maana si kwa mchambo ule wa ist. hakika umewatoa watu shimoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Mimi ninaitamani sana XC90 kuna jamaa Kidatu anayo aliniambia ni nzuri ila spare ndogo ndogo kama filter hazipatikakani kiurahisi hii ikoje brother
Chukua mzee kama bado. Volvo XC90 ni tank. Hadi mwaka 2018 toka ianze kuuzwa UK, hakuna mtu aliyekufa kwa ajali akiwa kwenye hiyo gari.



 
Siku ikifika huna ujanja. Hukumwona mh Kigwa waziri wa hao hao wanyama pori aliponea chupu chupu baada ya kugonga mnyama pori wake. Yaani mbwa kamla mbwa!!
Ajali haina utaalam. Waweza kuwa unaenda mwendo saafi tu 50kph bado akatokea kichaa au gari inayokuja mbele ikakatika stelingi ikakufuata ikakuua. Tumpe tu R.I.P jamaa yetu. Ila, kwa nini kafa mdogo hivyo jama!! Dah!
Kweli bana ajali haina kinga, unaweza kuwa sahihi na unazingatia usalama ila mwenzio gari ikamshinda akakuletea nzima nzima usoni. Au lorry likayumba na kudondoka kati kati halafu hapo umeiva uko 150KPH hadi kufunga breki unajikuta ushajaa.
 
Tuache ushabiki wa Japanese vs European. Tujikite kwenye ukweli. Euro makes zipo juu kwenye handling,braking na hivi vinasaidia kuepusha ajali. Pia zipo juu kwenye cabin safety kumkinga aliendani. Lakini kuna ajali ni mbaya kiasi kwamba uwe kwenye Euro au Japanese kupona ni majaliwa. Japanese cars ziko vizuri kwenye reliability.
Huu ndio ukweli ambao siwezi bishana nao chief...Iko wazi!
 
Back
Top Bottom