East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Hii kwi kwii.. kademu kanashobokaa akili zake tayari zilihamia kwa jamaa wa golf... kaliwish kangekuwa huko ...๐๐๐RRONDO hii kweli kichapo FC ๐๐๐ upo sahihi kumiliki Golf GTI! Huu udhalilishaji wa mchana kweupe 4GR imegota 180KPH ila mwenye 260KPH anaendelea kuchanja mbuga