Toyota hizi...!

Toyota hizi...!

nitakuwa km Piriton, hivi vigari vidogo sifuatilii tena nyuma, tangu ile ya Arusha nimenyoosha
watoto wanafuta visahani lakini wanachapwa, sasa mbele ukikutana na jamaa kaharibikiwa na gari inajua tu ni mzinga
cc Mshana Jr RRONDO nimeamini Germany si mchezo VW vijana wetu hata mkanda hawataki wakati wapo 180km/h
RRONDO hii kweli kichapo FC 😂😂😂 upo sahihi kumiliki Golf GTI! Huu udhalilishaji wa mchana kweupe 4GR imegota 180KPH ila mwenye 260KPH anaendelea kuchanja mbuga
 
Si kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi kama Greece land. Zimepita model nyingi.

Tunamalizia enzi za Harrier TAKO LA NYANI zimechuja haraka baada ya nyingi kupiga chini.

TOYOTA crown bado iko juu lakini nayo inaendelea kuchinja watu. Simlaumu mjapani katengeneza kwa matumizi yake na taratibu zake. Huku hatuzingatii hili kabisa

Mwisho tunaishia kulaumu na kusema TOYOTA hizi....!!!
lakini pamoja na Toyota nyingi kuwa na viwango vidogo vya usalama kulinganisha na gari za ulaya bado tatizo ni letu sisi wenyewe.....!

ELIMU JUU YA VYOMBO VYA MOTO hasa gari nyepesi za kijapani ni finyu mno...! tumepoteza damu changa nyingine Kabuku. Damu ya Rchunga... Rip [emoji1019] View attachment 1105974View attachment 1105975View attachment 1105976
Asante kwa thread, umenirudisha nyuma aisee..🥲🥲
 
Eeh Crown 180 ni kama maji kushuka kilima 🤣🤣🤣 limetulia ndani kimya ukiwasha na mziki ndio kabisa hutajua.
Kumbe ni jini mkata kamba.. mziki huwa nazima kabisa.. ili niwe na focus.. ila kwa hii thread nimeogopa.. bado sijatumbua raha nyingi.. ila tatizo.. unaweza kuwa unaenda hata 40 to 50.. linakuja boya moja huko na scani inakupiga hadi uvunguni.. bwana haya mambo Mungu tu atuepushe na atulinde.. unaweza ukawa source ya mzinga au wengine wakakubamiza.. ila crown ni konyo sana
 
Hahahaha we unaendeshaje 40 kwe nye 2.5L engine?

Hilo hutakiwi kushuka chini ya 80Kph. Sema ni gari nzuri kwa safari inatembea sana 😁
 
Hahahaha we unaendeshaje 40 kwe nye 2.5L engine?

Hilo hutakiwi kushuka chini ya 80Kph. Sema ni gari nzuri kwa safari inatembea sana 😁
Mzee 2.5 L nimemuachia mtu ila huwa nagogengea gongea, sasa hivi najivuta nivute 4.6 .. ila kwa post hii naona kama nimeletwa huku nijifunze... nitajaribu kuwa natembea mwisho 80 .. ila huwa kuna ka mzuka sanaaa basi tu 😀😀
 
Kweli bana ajali haina kinga, unaweza kuwa sahihi na unazingatia usalama ila mwenzio gari ikamshinda akakuletea nzima nzima usoni. Au lorry likayumba na kudondoka kati kati halafu hapo umeiva uko 150KPH hadi kufunga breki unajikuta ushajaa.
😀😀😀 badala ya ku press brake.. unakanyaga zaidi mafuta .. huwa kuna wenge hapo.. au sijui ndio ziraeli anafanyaga yake
 
Umeona wanacheka tu.. na pisi kali... hii huwa sitaki kabisa nikiwa nina drive.. na ndio maana kwenye safari ndefu huwezi kabisa nikuta nipo na mtu.. Extrovert mrangi
Bushmamy
 
Back
Top Bottom