Toyota hizi...!

Toyota hizi...!

Ni muda Sana naona watu wanazungumzia uzito huwa nakaa kimya tu. Hizi gari Japanese, European hazizidiani uzito Sana,labda kg 10-50tu. Most saloon cars ni 1.5ton. Gari za Europe 'feels heavy' on the road kwa sababu ya ufundi kwenye suspension and steering parts. Muundo wa suspension and steering parts unafanya gari inakuwa stable mpaka unaona gari hii ni nzito.
Hakuna saloon ya kawaida yenye 3ton kama ulivyosema, 3 tons ni SUVs. Na kwasasa hivi SUV za Euro wanatumia aluminium body imezidi kuwa nyepesi bila kuathirika stability take.
New Range Rover is lighter than Toyota Land cruiser but feels heavy than LC and far far stable.
Najitahidi kupata copy ya gari ili nione uhalisia... Gari nilishauza mdau kafafanua kuwa pengine si kg ni pounds....
 
Lakini hebu tuwe kwakweli kuna vipindi barabarani huwa tunashikwa na mzuka na kujisahau kidogo.... Unajistukia tayari uko 170
Mkuuu nadhani hii ni crown unaona hapo yupo 180...ila chuma ya mjeruman kampita kama kapark vile,,VW hyo ajali sio huyu kweli?
 
Ningependa kuanza na kusema ajari ni ajari na cha msingi ni maombi tu tuwapo barabarani..

Lakini kwa uzoefu mdogo nilionao hadi sasa nimebahatika kuendesha asilimia kubwa za japanese cars na pia kwa bahati pia nimefanikiwa kutembea nazo umbali mrefu na speed tofauti tofauti ...

Lakini pia nimebahatika kuendesha baadhi ya European cars , ......

HAYA NDO NILIOJIFUNZA

- Asilimia kubwa ya japanese cars mostly hizi za kati na ndogo usalama wake unaisha unapovuka 120km/hr ambapo nyingi zinakuwa nyepesi na kufanya uwe hatarini kushindwa kucontol gari lako hasa pale unapopata dharura kona, or unatakiwa kusimama kwa ghafla...

Ambapo most European cars zimetengenezwa kuweza kuhimili speed kubwa na zinakuwa safe na unaweza kuzicontrol hata ukiwa 180km/hr hivyo kuwa salama zaidi...

-Cha mwisho jamani ni asilimia kubwa ya hizi gari zimetumika njee zingine hadi 100k km ko unakuta hata baadhi ya safety features zimechoka au kuharibika hivyo kufanya gari kutokuwa salama,

Ni hayo 2
 
Umenena vema mno
 
Back
Top Bottom