Toyota hizi...!

Kuweka recors sawa BMW 5 Series ya 2007 ina 1620KG na Crown GRS180 ya 2007 ina 1610KG kwaio tofauti ni 10KG..
 
Kuweka recors sawa BMW 5 Series ya 2007 ina 1620KG na Crown GRS180 ya 2007 ina 1610KG kwaio tofauti ni 10KG..
Chanzo cha ajari kwa sehemu kubwa huchangiwa na muendesha chombo. Hakuna German wala Japan, mtu akiendesha vibaya chochote kinatokea. Hatuoni ajari nyingi za german car tanzania kwasababu zipo chache kulinganisha na gari za japan
 
Kuweka recors sawa BMW 5 Series ya 2007 ina 1620KG na Crown GRS180 ya 2007 ina 1610KG kwaio tofauti ni 10KG..
Wengi huwa wanachanganya. Being heavy and feeling heavy.
Gari nyingi za class moja tofauti ya weight ni ndogo sana. Lakini European cars feel heavy than Japanese kwasababu ya zilivyotengenezwa suspension parts zake hence stable.
Vitu vingine pia vinasaidia mfano performance ya brakes, airbags,abs etc inatifauti Kati ya gari na gari na kwa uzoefu wangu Euro makes ziko superior.
 
Inategemea na wingi wake hio factor haiwezi kufanya gari iwe na stability

Ni sawa na kusema toyo hazina balance zinaua sana kuliko tvs 125...wakati unajua toyo ni nyingi kuliko tvs na wanaoendesha toyo huwa wamewehuka kwa hio ukachukua TVs ukijua zina stability


Hao wameona kama hakuna kifo kilirekodiwa na gari zao hivo wanatumia hio njia kama fursa...ukielewa vitu hvyo hutopata shida hata
 
Toyota za Kimarekani mwisho wa kazi speed 220 na hata ugonge jiwe itachubuka tu na kimkunjo kidogo..... hizi gari za mchina inagonga boda Boda inakanika vipande viwiliView attachment 1106081
HALAFU KIJANA WA KIBONGO HAFUATILII HATA HIYO 220 NI 'MILES PER HOUR' AU 'KILOMETRES PER HOUR''?! ... YE MRADI KISAHANI KIISHE! πŸ€‘πŸ˜…
 
Kuna mtumiaji mwenzenu wa european cars huko juu anasifia kwamba gari yake ina tani 3 imepinduka na yeye ametoka salama kwaio ndo akaelezwa kwamba utofauti ni 10kgs ila sababu umeenda technical zaidi hapo inabaki kua hizo European cars kua superior
 
Mzee unabisha kuhusu safety za Volvo’s passenger vehicles ama unataka kusemaje?
 
Factors zote hizo tunaziweka kwenye:
1. Human factors
2. Mechanical factors
3. Environmental factors


YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…