Toyota hizi...!

Mwenyewe unaona Sifaaa...kumbe ushamba wa Gari unakusumbua.
Kila mtu ana starehe yake mkuu, fikiria kuna wanao ona kuwa na mademu ni starehe zao, kuna wanywaji wa pombe ni starehe zao....

Kwangu mim starehe yangu ni kuvunja speed meter... Kifo tumeumbiwa binadamu, gari nimeanza kuendesha nikiwa na miaka 7, na miaka 19 naendesha gari... Enjoy
 
aisee huyu aliingia chini ya lori ama nini...mbona kapunyuliwa juu tu!!!!?

mbele hapo naona hadi rejeta ipo fresh tu, pole yake.
 
leseni zenyewe siku hizi za kupigiwa simu na kwenda kuchukua unategemea hizo sheria na alama za barabarani watazijulia wapi.
 
Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
kwa huo muda ambao umetoka sidhani kama utafanikisha kufika saa kumi tunduma, haiwezekani.

ungetoka saa nane usiku chief.
 
[emoji26][emoji26]ukisema ujitembelee zako kwa miguu tuu kuepuka hayo,bado mjapani anaweza akaacha njia akakufuata hukohuko uliko...
Vijana wabishi na ujuaji mwingi. Wakiwa kwenye hayo mabati wanajiona wamemaliza. Acha waishe tu
tatizo hawaishi wao tu...wanatumaliza na sisi watembea kwa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…