Toyota hizi...!

Toyota hizi...!

Rest in peace in advance, au umefika salama?
Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
 
Tatizo sio elimu.
Ni upuuzi tu.

Wamefundishwa na wakayaacha huko huko. Kisa nini? Kupuuza tu.
Hata warudishwe darasani, watapuuza tu.
Unashangaa mtu hajui matumizi salama ya barabara sio kwa sababu hajawahi kusomea, bali alipuuza mpaka akasahau kama aliwahi hata kusomea.
 
Wanaamsha utadhani barabara ni za kwao.....kuna mmoja aliua pale mombo ile hoteli ya mzee mwamedi
Hapo possibility ni mashine ilipiga mzinga ikiwa kwenye mwendo kasi na immediately ikadaka moto...ukiicheki imepinduka upside down kwa hiyo inaonekana kama walikuwa wamejeruhika ilikuwa vigumu kujitetea...ukiendesha mkoani ukaona vijana wa private wanavyoamka na magari utadhani vichaa
 
Kutokana shuhuda zangu, lemme put this out there; hata ukiwa na za ulaya, ukiendesha 'kipumbavu', unazikwa vile vile. Halafu gari inatengenezeka, mashine tunairudisha barabarani.

Hata best car safety features zina limit yake ya intensity katika ajali.

European cars esp. German zinakupa better chance of survival. Ila drive responsibly.

Just a tip.
 
ni maisha magumu tu tuliyonayo na hamu ya kutaka kuendana na dunia kwa kuwa na ka usafiri ila kununua gari ya mjapani ni sawa na kununua vifaa vya ndani vya mchina
Dharau sasa mnazidisha watu wa Germany car.... Wacha tubanane humu humu toyota...

29177699_177273453074307_5600129164863602688_n.jpg

Toyota wametuletea spear zote za magari naskia mauzo ya magari yao bongo yameshuka sana,
 
Back
Top Bottom