Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mimi ninaitamani sana XC90 kuna jamaa Kidatu anayo aliniambia ni nzuri ila spare ndogo ndogo kama filter hazipatikakani kiurahisi hii ikoje brotherKumbe sikukosea kununua hii gari V40 speed 260
Eeh kiongozi, dawa ni double lanes tu zinazotenganisha waendao na wanaourudi!sawa na kujaribu kuzuia harufu ya ushuzi kwa kukalia godoro. Baada ya mda harufu itatoka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida ya online inachukua muda kidogo kufika na mimi kwa tabia yangu siwezi kukaa na gari mwezi imepaki roho inauma kama Nina mgonjwa vile ,halafu mashabiki nao wanakulegeza wanakwambia tulisema hii gari utaipaki tuuuAgiza tu.. Spare unapata online bila shaka
upo sahihi kabisa, majuzi huko Pwani ipo Toyota Progress nayo iliingia chini ya Fuso baada ya kuiOvertakeJe kama alisinzia?
Mkuu nilikuwa mbishi lkn nimenyoosha mikono juzi nilikuwa na SUV nang'ang'ania 140 km/h nilipititwa na GX 100 tena namba AHahahah, ila wewe uzee unakusumbua.., hahah, tuishe halafu iweje?
Siku ikifika huna ujanja. Hukumwona mh Kigwa waziri wa hao hao wanyama pori aliponea chupu chupu baada ya kugonga mnyama pori wake. Yaani mbwa kamla mbwa!!Pole kwa waliofikwa na hayo. Ukiangalia siku hizi madereva wengi wanajua kukanyaga mafuta na break basi. Sheria na alama za barabarani hawazijui, na wanaozijua baadhi hawazifuati kabisa, achilia mbali kujua uwezo wa gari na namna ya kulihandle barabarani ndio shida kubwa zaidi.
Siku ikifika huna ujanja. Hukumwona mh Kigwa waziri wa hao hao wanyama pori aliponea chupu chupu baada ya kugonga mnyama pori wake. Yaani mbwa kamla mbwa!!Pole kwa waliofikwa na hayo. Ukiangalia siku hizi madereva wengi wanajua kukanyaga mafuta na break basi. Sheria na alama za barabarani hawazijui, na wanaozijua baadhi hawazifuati kabisa, achilia mbali kujua uwezo wa gari na namna ya kulihandle barabarani ndio shida kubwa zaidi.
Nasisitiza bongo hamna highway kuna vichochoroupo sahihi kabisa, majuzi huko Pwani ipo Toyota Progress nayo iliingia chini ya Fuso baada ya kuiOvertake
nasema udereva kwenye Highway unatakiwa uzoefu kwani kila baada ya masaa mawili kuna kusinzia km utaiangalia hiyo mistari lami, mbaya uwe umeweka mziki na kufunga vioo vyote, ni bora kusimama vituo vikubwa na kuteremka chini
wenzetu huko ng'ambo kila masaa 10 ya uendeshaji ni lazima kulala /kupumzika masaa
View attachment 1106734
ni kweli huyu dogo alikuwa kwenye site yake, lakini km wakubwa wanamaliza barabara bora jipeleke nje kabisa wapishe, pia kuna magari mabovu husimama kweye site
Dawa ni kuwa mpole tuMkuu nilikuwa mbishi lkn nimenyoosha mikono juzi nilikuwa na SUV nang'ang'ania 140 km/h nilipititwa na GX 100 tena namba A
sasa hizo Brevis na Mark x sitazifukuza tena hata Athletic
Mh Kigwa wazee wa busara waliitengeneza ile ajali ni baada ya yeye kusema wanyama ni bora kuliko binadamu (alikuwa akitetea uhifadhi wa wanyama pori) wazee wakamuuliza ama umesema! naye kwa madaha akarudia kusema tena wanyama ni bora kuliko binadamu, wazee wakamwambia ahsante kijana siye twamachia mola! kufika mbele kidogo tu dreva akaona twiga (inadaiwa alikuwa twiga wa mazingaombwe toka kwa wale wazee wa busara) kwenye harakati za kumkwepa ndo ajali ikatokea, na wazee wakacheeeka kwa dharau wakimkumbusha mh. wanyama si bora kuliko binadamu!!Siku ikifika huna ujanja. Hukumwona mh Kigwa waziri wa hao hao wanyama pori aliponea chupu chupu baada ya kugonga mnyama pori wake. Yaani mbwa kamla mbwa!!
Ajali haina utaalam. Waweza kuwa unaenda mwendo saafi tu 50kph bado akatokea kichaa au gari inayokuja mbele ikakatika stelingi ikakufuata ikakuua. Tumpe tu R.I.P jamaa yetu. Ila, kwa nini kafa mdogo hivyo jama!! Dah!
Hizo ndio bmw zinazosifiwa kwa usalama hapa?
kwa jinsi jamaa anavyozipenda hizo Bmw hawezi kukubali,yaani kungekuwa kuna uwezekano wa kulala nalo kitandani angefanya hivyo sema ndo haiwezekaniHizo ndio bmw zinazosifiwa kwa usalama hapa?
Hahah inakua overated sana mkuu,kwa mzinga aliopiga huyo chalii hamna gari ingetoka salama hapo.kwa jinsi jamaa anavyozipenda hizo Bmw hawezi kukubali,yaani kungekuwa kuna uwezekano wa kulala nalo kitandani angefanya hivyo sema ndo haiwezekani
Usihofie kwakuwa si kila mara utabadili spareShida ya online inachukua muda kidogo kufika na mimi kwa tabia yangu siwezi kukaa na gari mwezi imepaki roho inauma kama Nina mgonjwa vile ,halafu mashabiki nao wanakulegeza wanakwambia tulisema hii gari utaipaki tuuu
Swadakta kabisa maana kuna wakati unajiuliza ajali zinazokea huko ulaya na watu wanakufa Toyota anahusikajeHahah inakua overated sana mkuu,kwa mzinga aliopiga huyo chalii hamna gari ingetoka salama hapo.
Tuache ushabiki wa Japanese vs European. Tujikite kwenye ukweli. Euro makes zipo juu kwenye handling,braking na hivi vinasaidia kuepusha ajali. Pia zipo juu kwenye cabin safety kumkinga aliendani. Lakini kuna ajali ni mbaya kiasi kwamba uwe kwenye Euro au Japanese kupona ni majaliwa. Japanese cars ziko vizuri kwenye reliability.Swadakta kabisa maana kuna wakati unajiuliza ajali zinazokea huko ulaya na watu wanakufa Toyota anahusikaje