Toyota hizi...!

Toyota hizi...!

Brevis ni stable kuliko crown Mzee. Achaa ubishi. Ajali za brevis ni chache kuliko za crown
Hiyo inaweza kuwa sababu ndogo.. ila ukweli ni kwamba Brevis nyingi zinamilikiwa na Wanaume wa makamo ambao wanajua umuhim wa kuishi na familia... Crown nyingi zinamilikiwa na Wanaume vijana, wao maisha wanadhani ni Show-Off wanaishia kufia barabarani...
 
Brevis ni stable kuliko crown Mzee. Achaa ubishi. Ajali za brevis ni chache kuliko za crown
Sababu kubwa inayofanya ajali za Brevis ziwe chache kuliko crown ni..
1..Brevis ni chache ukilinganisha na Crown

2..Brevis nyingi au GX 110 zinamilikiwa na watu ambao ni aged kidogo UNLIKE Crown, wengi ni vijana wanaopenda ligi ambazo mwisho wake Tuzo yake huwa gharama ya damu na uhai wao..

Nb...sitaki kukubali kuwa Brevis ipo stable kuliko crown, bali ligi za kijinga za wamiliki wa ceown ndiyo zinazowagharimu vijana hawa....ni kama tu vijana wa boda boda zinavyowavunja miguu kila siku
 
Poleni wana yangaView attachment 2328967View attachment 2328969View attachment 2328968View attachment 2328970
IMG-20220819-WA0368.jpg
 
Kumbe sikukosea kununua hii gari V40 speed 260
habari kaka, tafadhari naomba experience ya V40, nafikiria kuichukua pia naona wewe umekuwa nayo mda sasa. Ulikuwa na ya option ipi, petrol or diesel NA cc ngapi? pia nihighlight juu ya durability/ reliability, changamoto zake, consumption na availability ya spare parts.
 
Si kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi kama Greece land. Zimepita model nyingi.

Tunamalizia enzi za Harrier TAKO LA NYANI zimechuja haraka baada ya nyingi kupiga chini.

TOYOTA crown bado iko juu lakini nayo inaendelea kuchinja watu. Simlaumu mjapani katengeneza kwa matumizi yake na taratibu zake. Huku hatuzingatii hili kabisa

Mwisho tunaishia kulaumu na kusema TOYOTA hizi....!!!
lakini pamoja na Toyota nyingi kuwa na viwango vidogo vya usalama kulinganisha na gari za ulaya bado tatizo ni letu sisi wenyewe.....!

ELIMU JUU YA VYOMBO VYA MOTO hasa gari nyepesi za kijapani ni finyu mno...! tumepoteza damu changa nyingine Kabuku. Damu ya Rchunga... Rip [emoji1019] View attachment 1105974View attachment 1105975View attachment 1105976
Gari tunazonunua hapa zina karibu miaka ishirini. Kuna maboresho mengi ya usalama yameisha fanyika na yanaendelea kufanyika hasa katika bodi ili liweze kuhimili dharuba za ajali kupunguza madhara kwa abiria ( vehicle body design for safe impact energy absorbtion during accident )
 
Back
Top Bottom