N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Linapokuja suala la kuunda ndinga ambazo zina high performance na higher fuel efficiency Mjep huwa hakosei.
Na hapo ndipo alipowapiga Westerners na kitu kizito kiasi cha kushindwa kupenya soko la dunia na hasa Afrika kwa kuwa magari yao ni aghali sana kuyatunza.
Toyota Innova Hycross: ukipenda Innova Hycross itapatikana katika muundo wa viti saba na nane na chuma hiki kinapata nguvu kutoka kwenye injini ya petroli ya yenye silinda nne ya lita 2.0 ambayo ni injini ya TNGA Atkinson Cycle.
Gari hii itakuwa na ufanisi mkubwa sana barabarani lakini itatumia kiwese kidogo sana KILOMITA 21 KWA LITA MOJA.
Soma zaidi katika: Upcoming Toyota Cars You Should Wait For - 2 MPVs & 3 SUVs