Toyota Innova chuma inayoingia sokoni Januari 2023 ikiwa na fuel efficiency ya nguvu

wakiona mnaagiza magari yanayotumia wese kidogo nao watapandisha bei ya mafuta ili kurudi kulekule.

Mkiagiza magari ya umeme watapiga marufuku na kusema ni hatari kwa mazingira ya Tanzania au hata kuwaambia yanachafua mazingira, bora Petrol na Diesel.
 
Hio Gari Ina high performance gani lkn mkuu?

Subiri wajerumani wa JF waje na vitu vyao vyenye high performance,kaa hapo hapo kwa kutulia mkuu.

Toyota anamagari mazuri.
Tatizo hela tu jamani.
Ila ajitahidi ku improve performance kibongobongo wanasema ndinga ziwe na mwendo kama za mjeremani...toyota ukiondoa ma cruiser ndinga zake chache zinaweza kukaa mkabala na European brands kv bmw, Porche nk
 
Achana na mawazo ya wapumbavu wa humu. Kwani unanunua gari kwa ajili ya mashindano ya speed? Si ununue yale ya formula one basi kama unataka mashindano ama yale ma monster truck yana performance kubwa, yanapanda milima, mabonde, nk yana performance kubwa sana.

Toyota ndio brand ya magari inayopendwa ulimwengu kote, sio ulaya wala Marekani, mbona hayo european car yasipendwe huko kwao kwa hizo sifa zake za performance? Ama wao hawaoni Toyota haina performance?

Mkuu ukisikiliza losers, kila amenunua bmw x1 halafu akuambie toyota hazifai, usisikilize watu wapumbavu. Nunua gari unayoipenda.
 
Nunua gari... zipo hazipo China au SA SI hapo tu kila siku watu wanaenda.
Kununua gari halafu spear unaagiza huo ni utaahira wa kiwango cha juu sana.

Labda tu kama hiyo gari sio primary car yako, nikimaanisha una back up car just in case imeharibika, una nyingine unatumia huku ukisubiria spear ije, otherwise ni foolish thinking kua na gari halafu spear uagize nje usubiri wiki 2, wiki 3 unapanda daladala, hizo akili ama mavi?

Gari lazima ikupe urahisi wa kuitengeneza na kupatikana vifaa vyake kwa urahisi, iwe na urahisi wa kila kitu.
 
Achana na mawazo ya wapumbavu wa humu. Kwani unanunua gari kwa ajili ya mashindano ya speed? Si ununue yale ya formula one basi kama unataka mashindano ama yale ma monster truck yana performance kubwa, yanapanda milima, mabonde, nk yana performance kubwa sana.

Toyota ndio brand ya magari inayopendwa ulimwengu kote, sio ulaya wala Marekani, mbona hayo european car yasipendwe huko kwao kwa hizo sifa zake za performance? Ama wao hawaoni Toyota haina performance?

Mkuu ukisikiliza losers, kila amenunua bmw x1 halafu akuambie toyota hazifai, usisikilize watu wapumbavu. Nunua gari unayoipenda.
Hapana binafsi niko matured sana eneo hilo. Toyota hana mshindani hasa linapokuja suala na UFANISI na UNAFUU haya mawili yanapotakiwa kukaa pamoja.

Ila sasa, kwa long journeys Toyota amefaulu kwenye brands chache hasa ktk SAFETY na PERFORMANCE. Asilani huwezi ifananisha BMW X5 na HARRIER.

Uwezo wa gari kwenye masafa marefu ni kigezo muhimu sana na SPEED ni factor muhimu kwa longer journeys vitu ambavyo Toyota mostly anavikosa except kwa brands chache.

Nitakupa mfano ukiwa msafiri wa kudrive kila mara kati ya TUNDUMA na DAR kwa kutumia Harrier tako la nyani na siku ukipewa BMW X5/3 utagundua hiyo tofauti nayoisema.

Speed sio lazima iwe for racing 🏁. Kwenye highway 🛣 kama hali ya barabara inaruhusu 'the lesser you stay in the road the more you reduce accident possibilities' hii ni kauli ya researchers wa road safety.
 
Toyota ndio brand inayopendwa zaidi Duniani, kwa hiyo watu wanaoipenda hawapendi Safety yao, ni watu wanaojitoa mhanga maana hawatoi ama hawaipi safety kama kipaumbele chao, si ndio unachomaanisha hapa, sio?

Ama unataka kumaanisha kwamba Duniani watu wengi hawapendi performance hadi hayo magari yenye performance na safety kubwa yasiwe ndio magari pendwa, sio?

Ama unamaanisha nini mkuu.
 
Linapokuja suala la kuunda ndinga ambazo zina high performance na higher fuel efficiency Mjep huwa hakosei.
Na hapo ndipo alipowapiga Westerners na kitu kizito kiasi cha kushindwa kupenya soko la dunia na hasa Afrika kwa kuwa magari yao ni aghali sana kuyatunza.

Toyota Innova Hycross: ukipenda Innova Hycross itapatikana katika muundo wa viti saba na nane na chuma hiki kinapata nguvu kutoka kwenye injini ya petroli ya yenye silinda nne ya lita 2.0 ambayo ni injini ya TNGA Atkinson Cycle.

Gari hii itakuwa na ufanisi mkubwa sana barabarani lakini itatumia kiwese kidogo sana KILOMITA 21 KWA LITA MOJA.

View attachment 2457390

Soma zaidi katika: Upcoming Toyota Cars You Should Wait For - 2 MPVs & 3 SUVs
Yethuuu hii thi ya kukotha
 
Back
Top Bottom