PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hapo unakuta kilakitu kinafanana na vanguard Ila wajapani huwa wanatuzungusha Akili zetu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TRA hawaangalii umenunulia wapi. Ukifika border watakukamua kama mzalendoMkuu ivi mfano nikanunua gari labda kwa madiba, alaf nikaja nalo bongo kama private inakuaje tra? Au ni ndoto za abunuwasi
Sawa sawa mkuu🤣TRA hawaangalii umenunulia wapi. Ukifika border watakukamua kama mzalendo
Mkuu kama wewe una maisha ya kawaida kama yangu nasi kufikiri kununua gari mpya ni ndoto...Weka na bei yake basi walamba asali waione ili waweze inyakuaa
Ova
Mmh iyo c V8Mkuu kama wewe una maisha ya kawaida kama yangu nasi kufikiri kununua gari mpya ni ndoto...
Kitu kitakiwa si chini ya 350mil.
Uliionaje ile latest machineJuzi I came across GXR 2022 jamani Amadala Mimi ngoja niendelee kushangaa mjadala wa gari ya 2023
Tatizo la hao sido nk, hata wakiunga mavyuma yao iwe gari bado hutoweza kununua na itakuwa bora ununue nje ya nchi kuliko made in bongoland.SIDO nao watengeneze hata Mkokoteni basi
Na Mimi hii imenishangaza sana..km 21 kwa lita!Km 21 kwa lita...Vitz yangu ikasome.
Hadithi za 90s hizo. Siku hizi hata Tesla utapata spea BongoSpea zipo TZ? Nimeiona Windhoek za kutosha nataka nijilipue na moja Ila tra sasa
Nilipagawa kwa kweli chuma imesimama mnooUliionaje ile latest machine
Du! KM 21 kwa Lita Moja kama ISTLinapokuja suala la kuunda ndinga ambazo zina high performance na higher fuel efficiency Mjep huwa hakosei.
Na hapo ndipo alipowapiga Westerners na kitu kizito kiasi cha kushindwa kupenya soko la dunia na hasa Afrika kwa kuwa magari yao ni aghali sana kuyatunza.
Toyota Innova Hycross: ukipenda Innova Hycross itapatikana katika muundo wa viti saba na nane na chuma hiki kinapata nguvu kutoka kwenye injini ya petroli ya yenye silinda nne ya lita 2.0 ambayo ni injini ya TNGA Atkinson Cycle.
Gari hii itakuwa na ufanisi mkubwa sana barabarani lakini itatumia kiwese kidogo sana KILOMITA 21 KWA LITA MOJA.
View attachment 2457390
Soma zaidi katika: Upcoming Toyota Cars You Should Wait For - 2 MPVs & 3 SUVs
Unawaambiaje raia wanaosema Toyota hana magariNilipagawa kwa kweli chuma imesimama mnoo
Toyota anamagari mazuri.Unawaambiaje raia wanaosema Toyota hana magari
Asante, madili yangu yakikaa sawa ntakutunuku VX-R moja 2025Toyota anamagari mazuri.
Tatizo hela tu jamani.
So as long as sio Hybrid, kwa zama hizi, hiyo ni taka taka tuLinapokuja suala la kuunda ndinga ambazo zina high performance na higher fuel efficiency Mjep huwa hakosei.