Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Ha ha ha thanksAsante, madili yangu yakikaa sawa ntakutunuku VX-R moja 2025
Usimwambie mtu hii siri yetuHa ha ha thanks
Hio Gari Ina high performance gani lkn mkuu?
Subiri wajerumani wa JF waje na vitu vyao vyenye high performance,kaa hapo hapo kwa kutulia mkuu.
Ila ajitahidi ku improve performance kibongobongo wanasema ndinga ziwe na mwendo kama za mjeremani...toyota ukiondoa ma cruiser ndinga zake chache zinaweza kukaa mkabala na European brands kv bmw, Porche nkToyota anamagari mazuri.
Tatizo hela tu jamani.
Kwa kweli, wangeanza japo na usiohitaji kusukumwa, taratibu wangefikia kwenye gari.SIDO nao watengeneze hata Mkokoteni basi
Hivi haval bongo zipo?Naifananisha na Haval H6 GT .... Hii SUV nzuri saana nje... sijui ambao wameimiliki ???
Achana na mawazo ya wapumbavu wa humu. Kwani unanunua gari kwa ajili ya mashindano ya speed? Si ununue yale ya formula one basi kama unataka mashindano ama yale ma monster truck yana performance kubwa, yanapanda milima, mabonde, nk yana performance kubwa sana.Ila ajitahidi ku improve performance kibongobongo wanasema ndinga ziwe na mwendo kama za mjeremani...toyota ukiondoa ma cruiser ndinga zake chache zinaweza kukaa mkabala na European brands kv bmw, Porche nk
Yes, zipo. Juzi hapa nimepishana na moja.Hivi haval bongo zipo?
Huku kwetu Afrika ukitoa South Hybrid cars hazina maana yoyote. Bado tutaendelea kutumia hizi za mafuta kwa kipindi kirefu zaidi hata miaka 20 ijayo.So as long as sio Hybrid, kwa zama hizi, hiyo ni taka taka tu
Kununua gari halafu spear unaagiza huo ni utaahira wa kiwango cha juu sana.Nunua gari... zipo hazipo China au SA SI hapo tu kila siku watu wanaenda.
PTYes, zipo. Juzi hapa nimepishana na moja.
Hapana binafsi niko matured sana eneo hilo. Toyota hana mshindani hasa linapokuja suala na UFANISI na UNAFUU haya mawili yanapotakiwa kukaa pamoja.Achana na mawazo ya wapumbavu wa humu. Kwani unanunua gari kwa ajili ya mashindano ya speed? Si ununue yale ya formula one basi kama unataka mashindano ama yale ma monster truck yana performance kubwa, yanapanda milima, mabonde, nk yana performance kubwa sana.
Toyota ndio brand ya magari inayopendwa ulimwengu kote, sio ulaya wala Marekani, mbona hayo european car yasipendwe huko kwao kwa hizo sifa zake za performance? Ama wao hawaoni Toyota haina performance?
Mkuu ukisikiliza losers, kila amenunua bmw x1 halafu akuambie toyota hazifai, usisikilize watu wapumbavu. Nunua gari unayoipenda.
Toyota ndio brand inayopendwa zaidi Duniani, kwa hiyo watu wanaoipenda hawapendi Safety yao, ni watu wanaojitoa mhanga maana hawatoi ama hawaipi safety kama kipaumbele chao, si ndio unachomaanisha hapa, sio?Hapana binafsi niko matured sana eneo hilo. Toyota hana mshindani hasa linapokuja suala na UFANISI na UNAFUU haya mawili yanapotakiwa kukaa pamoja.
Ila sasa, kwa long journeys Toyota amefaulu kwenye brands chache hasa ktk SAFETY na PERFORMANCE. Asilani huwezi ifananisha BMW X5 na HARRIER.
Uwezo wa gari kwenye masafa marefu ni kigezo muhimu sana na SPEED ni factor muhimu kwa longer journeys vitu ambavyo Toyota mostly anavikosa except kwa brands chache.
Nitakupa mfano ukiwa msafiri wa kudrive kila mara kati ya TUNDUMA na DAR kwa kutumia Harrier tako la nyani na siku ukipewa BMW X5/3 utagundua hiyo tofauti nayoisema.
Speed sio lazima iwe for racing π. Kwenye highway π£ kama hali ya barabara inaruhusu 'the lesser you stay in the road the more you reduce accident possibilities' hii ni kauli ya researchers wa road safety.
Yethuuu hii thi ya kukothaLinapokuja suala la kuunda ndinga ambazo zina high performance na higher fuel efficiency Mjep huwa hakosei.
Na hapo ndipo alipowapiga Westerners na kitu kizito kiasi cha kushindwa kupenya soko la dunia na hasa Afrika kwa kuwa magari yao ni aghali sana kuyatunza.
Toyota Innova Hycross: ukipenda Innova Hycross itapatikana katika muundo wa viti saba na nane na chuma hiki kinapata nguvu kutoka kwenye injini ya petroli ya yenye silinda nne ya lita 2.0 ambayo ni injini ya TNGA Atkinson Cycle.
Gari hii itakuwa na ufanisi mkubwa sana barabarani lakini itatumia kiwese kidogo sana KILOMITA 21 KWA LITA MOJA.
View attachment 2457390
Soma zaidi katika: Upcoming Toyota Cars You Should Wait For - 2 MPVs & 3 SUVs
Hapo mzee kwa ushuru unaweza kujikuta unanunua gari nyingine ndogo. Jilipue uvute mchuma huo.Spea zipo TZ? Nimeiona Windhoek za kutosha nataka nijilipue na moja Ila tra sasa