Piston hizo wala huna haja ya kuweka audio
Suluhisho lake ni nini mkuuPiston hizo wala huna haja ya kuweka audio
Ni issue ya engine hiyo. Ni piston na connecting rods inatakiwa uzibadilishe. Ukiendelea kuendesha gari, unaweza kiua engine nzima kabisa na pistons zote. Paki gari, fanyia matengenezo, ndio uiendeshe. Partial repair is always cheaper than Full repairWataalaamu wa magari,
Sikiliza audio ya silencer kama nilivyoirekodi kwenye engine ya Toyota IST. Kuna mlio wa 'kugonga' hivi kwenye engine.
Asubuhi napowasha gari hamna shida, silencer inakuwa normal and smooth. Lakini jioni au usiku naposimama na kuweka 'P', silencer inakuwa inasikika hivyo.
Ni tatizo gani hilo?
Check na mafundi Bro ila ni piston hizo ukizidi kuitumia unakuwa engine yoteSuluhisho lake ni nini mkuu
Sauti ni kama ya 'Tap tap tap' ??.Shida ni engine lakini yabidi ujue nini hasa shida huko.Mara nyingi ni Bearing za Piston kulika na kutengeneza nafasi ambayo inagonga gonga.
Sababu kuu : Kupitisha umbali wa Service
Sauti ni kama ya 'Tap tap tap' ??.Shida ni engine lakini yabidi ujue nini hasa shida huko.Mara nyingi ni Bearing za Piston kulika na kutengeneza nafasi ambayo inagonga gonga.
Sababu kuu : Kupitisha umbali wa Service
Unaskia hodi na pia unasikia mingurumo. kwa nlivokuelewa mie una matatizo mawili, moja lipo kwenye mashine jengine lipo kwenye aidha vitu vinavohusiana na suspension ama driving shaft.Mkuu Dumbuya , Nami nina tatizo kama la mleta mada.
Kwenye silence/iddle, engine inatoa mlio wa kugonga hivi, yaani kama mlio wa kugonga hodi. Asubuhi hapana, ila usiku napomaliza mizunguko.
Na pia saahivi gari imepungua power ya kukimbia kwenye mpando hasa nikiwa nimebeba watu.
Pia nimegundua nikifika speed 120, mlio/muungurumo unakuwa juu sana. Nafunga vioo full AC muda wote, lakini muungurumo nausikia. Nilidhania labda ni matairi kuisha ndiyo inasababisha huo muungurumo. Nimeweka tyre nne zote mpya, lakini bado muungurumo wa gari unakuwa upo juu kwenye high way speed.
Speed chini ya 120 ama juu ya 120, muungurumo unapungua kidogo.
Pia, kwa mara ya kwanza nimeona oil kupungua kiasi kidogo.
Odometer inasoma km 125,000 hadi sasa.
Mwaka jana niliondoa masega ya kwenye eksozi, baada ya gari kuwa inaishiwa nguvu mlimani. Na kweli tulipoondoa masega, gari ilirudi upyaaa kwenye power, na muungurumo wa eksozi ukabaki kawaida tu with very minor difference.
Service nazingatia sana. Natumia engine oil ya TOTAL 5W30 (quartz 9000) full synthetic.
Gearbox oil nishabadilisha mara 1, niliweka ATF type IV ya toyota as recommended kwenye dipstick.
Ni Toyota IST ncp61 (1490 CC).
CC: chilubi . , Kichuguu , Boeing 747 , LEGE , ProBook
Bearing inaleta mlio kama wa kundi la nyuki halafu inakula tairi upande mmojaUnaskia hodi na pia unasikia mingurumo. kwa nlivokuelewa mie una matatizo mawili, moja lipo kwenye mashine jengine lipo kwenye aidha vitu vinavohusiana na suspension ama driving shaft.
Wakati wa idling kama unaskia kugonga (Engine knock) lakin kwenye mwendo husikii basi inawezekana unatatizo la oil pump, inashindwa kusukuma oil wakati wa idle kutokana na kukosa nguvu. Ikiwa ni hivi basi taa ya oil inatakiwa iwake.
Kama taa ya oil haiwaki, inawezekana unatatizo kwenye plug ikawa haipeleki spark inavotakiwa. Yaani haichomi vizuri na kutokuwa na mripuko uliokuwa smooth kama inavotakiwa. Jengine mafuta nayo yanachangia kusababisha knock. Jaribu kubadilisha sheli na uone na ikiwa sio mafuta basi mpelekee fundi, afungue oil pan chini ya engine halafu atizame kama kuna piston inacheza.
mngurumo unaousikia kiasi kwamba ukaona ubadilishe matairi, mimi nina suspect kuwa bearings zimeisha. piga jeki gari, zungusha ringi, ukisikia inamikwaruzo ama inavuma wakati unazungusha basi ushapata jibu, jaribu kila ringi.
Driving shaft nayo pia inaweza sababisha ukasikia mvumo.
Hayo masega uloyatoa kwenye exhaust hayajakutatulia tatizo, ni illussion tu, hapo cha msingi mafundi wamechukua unga wake na kwenda kuuza.
Ningemshauri achukue video tusikie huo mlio tungepata mwanga kidogo walau tujue pa kuanzia. Maana kama unasikia Knock huwezi kuwaza kubadili tairi, knock unaisikia kabisa inapotoka, ila mpaka kabadilisha matairi I assume kuna mlio unatoka sehemu izo. Afanye hizo simple diagnosis atajua tuBearing inaleta mlio kama wa kundi la nyuki halafu inakula tairi upande mmoja