Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ww ligi ndogo. Tafuta ligi ndogo wenzioNilikuwa nakimbizana na mav8 mkuu..ligi ikanishinda
Kwenda kahama ukitokea wapi tinde au,,, hivi mnaonaga wote tunakaa dar?Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho!
Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Huyu mnyama huwa namsikia sikia..hebu nifunue akili kidogo.juu yake mkuu
Hio gari inakata upepo ingekuwa na mabawa ingepaa kabisa.😂😂😂 ndo maana imewekwa chini ili isije ikapaa. Sprint ya 0-60 in 3.5 secs sio kitoto.Mbona kama iko chini sana, kwa barabara zetu zenye mashimo na matuta itatoboa kweli?
Ukiskia matembo wanakaaga basi ni kwa huyo mnyama, gari ya kitambo ila inanyanyasa mpaka wakina lamborghini hapo road.Nilishaona clip moja GT-R inaivimbia Buggati japo kwa sekunde kadhaa. Hii gari inakat a upepo mzee ni hatari.
Hio inaitwa Kiss My Ass 😂😂😂
GTR..[emoji28][emoji28][emoji28] vs Subaru guy na demu wake
Mamamae maisha haya.
GTR..[emoji28][emoji28][emoji28] vs Subaru guy na demu wake
Ukiskia matembo wanakaaga basi ni kwa huyo mnyama, gari ya kitambo ila inanyanyasa mpaka wakina lamborghini hapo road.Nilishaona clip moja GT-R inaivimbia Buggati japo kwa sekunde kadhaa. Hii gari inakat a upepo mzee ni hatari.
Ungeitia gunia tano za Mkaa ungeipendaWiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho!
Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
GT-R nimeshaiona msasani bro.Gtr ni mnyama sana , ila sizani kama mazingira ya Tz inatoboa .Gari ambayo alitumia Paul Walker ktk Fast Five pale mwisho anakimbizana na Vin Diesel wakati wanaenda kumuangalia wife wake baada ya kijifungua
Unaulizia kutoboa kwenye JDM?Gtr ni mnyama sana , ila sizani kama mazingira ya Tz inatoboa .Gari ambayo alitumia Paul Walker ktk Fast Five pale mwisho anakimbizana na Vin Diesel wakati wanaenda kumuangalia wife wake baada ya kijifungua
Sasa wajilaumu nini. IST nyingi zina CC 1298 au 1296 tuseme 1300 na baadhi zina CC 1496 au 1498 tuseme 1500. Katika Engine Power au Engine Pulling ya Gari CC huwa ni kigezo kikuu. Unaposhindana na gari yenye CC kubwa zaidi ya hapo, uwezekano wa kuachwa unakuwa mkubwa sana.Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho!
Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Demu ndani ya Subaru katoa mlio kama vile anawekewa dyudyu..[emoji28][emoji28]Mamamae maisha haya.
Hahah aisee hio mambo ilivyochomoka ghafla demu kapiga kulia lia tu huku subaru ya mwana imebaki inapiga chafya tu,hahahah.Demu ndani ya Subaru katoa mlio kama vile anawekewa dyudyu..[emoji28][emoji28]
Aliamini subaru ya boy wake ndiyo mwisho wa yote..
Hahaha IST ni gari ya kutembelea mjini tu sio lwa ajili ya safari...usione watu wananunua Brevis, Crown, Altezza, Subaru nkWiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho!
Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Hizo ligi mnazifanyaje na trafick na matochi wamejaa barabarani?,au mnatembea usiku?Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa