Toyota IST imeniangusha sana

Hizo Evo/sti hazibadilishwi engine,engine zinakua tu moded/tuned i.e Fuel Rail Upgrade,Turbocharger Upgrade,Camshaft upgrade,Intake Manifold Upgrade,Fuel Pump Upgrade,Remap factory ECU etc
 
Hizo Evo/sti hazibadilishwi engine,engine zinakua tu moded/tuned i.e Fuel Rail Upgrade,Turbocharger Upgrade,Camshaft upgrade,Intake Manifold Upgrade,Fuel Pump Upgrade,Remap factory ECU etc
Hizo upgrades tayari zinaunda a more powerful version of the original. Ukilinganisha na factory model. Hapa kuna video ya V8 imewekwa kwa EVO
 
Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho!

Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Hivi ile issue yako ya nyumba ulionunua kumbe alikuizia alikuwa amekopa bank imeishaje?
 
Hivi ile issue yako ya nyumba ulionunua kumbe alikuizia alikuwa amekopa bank imeishaje?
Sikuwa na namna nyingine zaidi ya kulipa deni lile mkuu, ilikuwa imebaki 6M! So benki wakataka kusukuma nyumba kwa bei hiyo nikasema aah wapi!
 
Sawa kabisa. I can see uko very knowledgeable kwenye vehicle mechanics. Good job kaka. Keep up kazi nzuri ya kujifunza na kuongeza ujuzi. Knowledge is everything
Wanaume huwa mnapendana sana yaan[emoji122][emoji122]

Cheki ulivyomsifia mwanaume mwenzako bila nyongo wala nini[emoji15]

Huku kwetu asubutuuuuuu [emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] ungesikia " hili nalo kujifanya linajuuua[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] " na msonyo juu " mxiuuuuu

Heko kwako[emoji122]
 
Treat people like you want to be treated. Kama mtu anafanya mjadala mzuri na wa kuheshimiana kwa nini usimpende na kumheshimu? Kama unaongelea yule mdada wa juzi, nilijitahidi sana kumheshimu ila akashindwa kujiheshimu na kuthamini heshima mtu unampa. Watu kama hao, sio me au ke, wanastahili moto tena wa Nuclear kabisa.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umenena vyema...

Tatizo la huo upande wenu, mwenye tako anamdharau asiye na tako, asiye na tako anamchukia mwenye tako, aliyeolewa anamdharau mdangaji, mdangaji anamchukia aliyeolewa..

Ambao hawatoki na boss wanamchukia anayetoka na boss, anayetoka na boss anawadharau wasiotoka na boss..

Mweny iPhone anamdharau mwenye Tecno, mwenye tecno anamchukia mwenye iPhone..[emoji1][emoji1]

yaani ilimradi tu kuchukiana...

Ukikuta mwanaume mwenye chuki chuki za namna hiyo, lazima anamatatizo kwenye mfumo wake wa hormones..[emoji28][emoji28]
 
Hivi hii ni kwanini mkuu?
 
nilikuwa na subaru forester toka Tanga to Dar nilipitwa na V8 tu kuna mahali nilismama nunua mafenesi IST akanipita haikuzidi dakika 1o nikamrudisha kwenye position yake. isingekuwa kutikisika usukani V* naye alikuwa kwenye range yangu kabisa.
 
Mzee forester haifui dafu kwa hizo V8 zioe gari balaa
nilikuwa na subaru forester toka Tanga to Dar nilipitwa na V8 tu kuna mahali nilismama nunua mafenesi IST akanipita haikuzidi dakika 1o nikamrudisha kwenye position yake. isingekuwa kutikisika usukani V* naye alikuwa kwenye range yangu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…