Toyota kuacha kutengeneza VX V8 2021

Honestly am addictive on driving bigger car!

Gari ikiwa chini ya engine capacity 2000 huwa sifikirii Kununua, zinakuwa nyepesi sana!

Pia gari ikiwa na chini ya speed 260km/h hiyo huwa Sitaki hata kuiskia, otherwise niendeshe ya mtu ila sio yangu!
Kariakoo to Tegeta Kwa gari yenye CC 3000 ya kazi gani? Au speed 260 haina tija Sana
 

source please!!!


Wanasiasa watahamia hata Nissan Patrol au BMW X7&X8
 
Hii ni habari kwa wapenda magari mapya, sisi wa kununua magari ya zamani sio issue. Imagine hadi leo tunaagiza gari za 1990's, sio issue kabisa coz used bado zitakuwa sokoni hadi angalau 2040 huko.
 
Daah sasa kiduku lilo sijui atanunua gari gani maana ndo mambo yake haya...
 
Nissan Patrol ya sasa hovyo kabisa!

Muungurumo kama power tiller!
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Kuna jirani yangu alikuwa na Nissan patrol mwaka mmoja hivi uliopita, Aisee lile gari lilikuwa linanguruma vizuri mpaka mb*oo inadinda [emoji15][emoji15][emoji15].....mlio wa kibabe injini invyoitikia gia..[emoji31][emoji31]
Yule fala si kauza lile gari.....kanunua vx flani hivi ingefanana na vx amazon...inaungurua kama Canter..[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]


Lakini hata Coaster box body zile EX..old model....achana na hizi coaster mayai..
Ukiikuta ina injini yake haijachokonolewa ..ile mashine inaunguruma vizuri.....Matoleo maoya kwa upande wa muungurumo wa injini yamepoteza raha kabisa
 
Mnguromo. Mbaya bora iwe silent kama vx v8
 
LandRover wameacha kutengeneza Deffender 110.. Toyota nao wanaachana na Landcruiser V8 sasa naona Icon za haya makampuni zinaptea... Soon Toyota wataleta usenge wa kuachana na LandCruiser hardTop!

All. In all mngurumo wa Land cruiser Series 80 unanikosha sana
 
Hahah sijui kwanini tu nilivyoona nissan patrol inalalamikiwa nikajua tu lazima ntakuona pande hizi.
 
Hahah sijui kwanini tu nilivyoona nissan patrol inalalamikiwa nikajua tu lazima ntakuona pande hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nissan ni gari nzuri sana ukizipatia huduma stahiki...

Karibu utest ladha ya nissan....
 
Hahah ntakuja mzee baba ila ngoja kidogo ule msimu wa kuitwa kangomba upite.
Kangomba...umenikumbusha mbali sana....miaia hiyo nikiwa Mtwara na Lindi. ...huko kwa kina Somoe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Land Cruiser 100 Series 4.2L Diesel with Manual transmission, my all time favorite SUV. Bila kusahau Nissan Y60 TD42
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…